Recent content by Mkohoti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asee nyie ni wehu, yaani mnataka mpewe makombe ya City?! Kwamba uwanjani walipanga matokeo au? Pambaneni mpate makombe yenu ya kihalali sio ya kupewa na kocha wenu huyo kilaza miaka kumi sasa ana kakombe kamoja cha set pieces.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumsapoti mtanzania mwezetu kwenye mashindano ya Miss grandi international kwa kumpiga kyra

    Huyo mbona ni Mhindi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Kupitia hii thread nimekuja kugundua hata humu JF michoko ni mingi sana, na inateteana hatarii. Hii vita sio ndogo! machoko yamecharuka kwa hasira dhidi ya Crocodile
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

    Ana hoja asipuuzwe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Utababuka mdomo, asidi ya kule nizaidi ya tindikali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwenye timu ukishakua na michezaji ya Arsenal hovyo kbs, mpk Tuchel aje agundue hili itakua kashafukuzwa. Saka ni mtumishi hewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa hiyo tumekubaliana tatizo la man u ni Rashford?!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mbona kusuffer tumeanza kusuffer kabla hata ya Brighton, kocha akataka kujaribu kupata clean sheet kwa nyuki ndio kwanza kaishia kula chuma tatu. Bora tuendelee tu na ushindi wetu wa magoli mengi kwa mengi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sio kila unachokiona ukafikiri ndivyo kilivyo, nimekuPM na my other ID kukudhibitishia mimi sio rika lako. Chupi wewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naona akili zimeanza kuwakaa sawa, mpk sasa kimya humu hamna kudanganyana tena. Sema nini? Siku wakianza mgea Lile roboti Gyokeres pass atafunga sana. Hahahaha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mpira haupo hivyo dogo, hao Brighton waliowafunga Arsenal 3, sisi tuliwafunga 4.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

    Weka namba yake hapa tucheki kama kweli kakubloko.
Back
Top Bottom