Asante mkuu kwa ushauri wako ni kweli cku hizi mitandao imeshikilia ndoa zetu, yaani kila ki2 tunakianika hii c nzuri. Kwa kweli nami ni mmoja wa wanaopinga sn hl ila nikajikuta tu nipo jf nikiamini kuna ushauri mzuri. Samahanini wapendwa kwa kuwakwaza
Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke nilieolewa miaka 17 iliyopita, na tumajaaliwa kupata watoto 3 mkubwa kwa sasa yupo kidato cha nne, lakini kwa muda wote huo nilioishi na mume wangu hakuwahi kuhudumia familia kwa chakula wala chochote ndni kama Baba, pesa yake ni kusoma tu.
Mimi nilikua...
Kwa kweli wenye vibamia wanapenda utegemezi Sana. Tofauti na wenye shafti, hawa wanabembeleza sn na pia wanajali pale unapokua na tatizo lkn vibamia aah hawakutoshelezi na bd si watoaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.