Recent content by Mkiu Kwetu

  1. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa magari naomba msaada

    Habari za mchana wanajamvi. Gari yangu ni automatic na lina tatizo ambalo bado sijalielewa, kila ninayemuuliza ananipa majibu yake. Tatizo lenyewe ni hili: Ukiingiza gia (D) au ( R) inatoa kishindo na gari linashituka hapo gia inakuwa imeingia, halafu inachelewa kubadili kutoka namba moja...
  2. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Mkuu unajua kuandika, nimeipenda style ya uandishi wako ingawa bado sijapata maana ya ulichokiandika
  3. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Azam huu nao ni ubaguzi

    Kweli sio poa
  4. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Migomo na Mandamano Tulipokuwa Watu :Kizazi kile kilikuwa cha Simba kinapotea na sasa Fisi wametamalaki

    Hivi Mr Punch bado yupo? Sijasikia habari zake muda mrefu kidogo, au amedisco?
  5. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Swali. Je, ambulance ikiwa na mgonjwa akafia njiani humrudisha hospitali ilikomtoa?

    Kama mgonjwa kafia kwenye ambulance ni lazima afikishwe kwenye hospitali aliyokuwa anapelekwa, ili daktari atakayempokea athibitishe kifo kwa kujiridhisha na vipimo, haiwezekani ukathibitisha kifo cha mgonjwa akiwa njiani kuelekea rufaa.
  6. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti Kati ya Nchi na Serikali ?

    Nchi ni eneo la kijiografia lenye mipaka inayotambulika kimataifa, na serikali ni taasisi halali inayoingoza nchi husika iliyowekwa kihalali na wananchi kwa mujibu wa katiba yao, au iliyopo kwa mabavu au vinginevyo kwa lengo la kusimamia/kutumia/kunyonya rasilimali za nchi husika.
  7. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania MAMA TANZANIA UKO WAPI?

    Umeshindwa kumtafuta huko jimboni unakuja kumtafuta jf? Kweli watu mmevurugwa
  8. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa Kuvumilia naombeni msaada wenu wa haraka nimuokoe huyu Mtoto kwa Mama wa Kambo

    Ninachokiona Mimi ni kuwa huyu mtoto anapata mateso haya wakati baba yake yuko kazini, hivyo mama/ mkewe anakuwa na muda wa kutosha wa kutekeleza matukio ya unyanyasaji, kwa kuwa baba wa mtoto anakaribia kustaafu, aidha mama wa kambo ataacha kumnyanyasa mtoto, au manyanyaso yake yataonekana...
  9. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa Kuvumilia naombeni msaada wenu wa haraka nimuokoe huyu Mtoto kwa Mama wa Kambo

    Ninachokiona Mimi ni kuwa huyu mtoto anapata mateso haya wakati baba yake yuko kazini, hivyo mama/ mkewe anakuwa na muda wa kutosha wa kutekeleza matukio ya unyanyasaji, kwa kuwa baba wa mtoto anakaribia kustaafu, aidha mama wa kambo ataacha kumnyanyasa mtoto, au manyanyaso yake yataonekana...
  10. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Akili inaporuhusu kutazama ndio macho huona!

    Mkuu uko vizuri, lakini binafsi nieleweshe tofauti kati ya kuona, kutazama na kuangalia ili twende sawa
  11. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Wafahamu malaika na kazi zao

    Umbo la kipekee likoje mkuu? Basi weka picha tuone
  12. Mkiu Kwetu

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

    Karudi katika ubora wake, halafu haka kajamaa kaajabu sana, yaani pamoja na comments zote hizo hakajajibu hata moja, kanatusanifu tu, nahisi kanafanya research. Ila anakoelekea anakujua yeye na muumba wake
Back
Top Bottom