Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Hbr ndg zangu wanajamiiforums wenzangu
Leo nmeona tuuchambue hata kdogo Uzi Kama huu
Kama lilivo swali kuna tofauti kati ya nchi na serikali? Hivi mtu anaweza kusema anaipenda serikali halafu akawa hapendi nchi hyo?
Mtu anaweza kuwa anaipenda nchi lakini akawa hapendi serikali? Pengne tunaweza kuwa tunalalamika tu kwamba hatuna wawekezaji au tourists kisa tu watu kuna ktu wanakipenda ila kingne hawapendi ...
Naombeni michango yenu kwa kina ktk hili ili tupate tofauti za kutosha maana naweza kuwa nalaum kuwa spendi nchi mfano yangu kumbe sababu tu ni sirikali tu.....
A:Napenda nchi yangu
B:Napenda serikali yangu au serikali na nchi havitengani? Kwamba uksema napenda nchi yangu automatically umeipenda na serikali?
Karibuni nyote kwa michango yenu