Recent content by Mkenye Mkuu

  1. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa SOMA wa DIT ni kero kwa wanafunzi

    Institute of Technology facing technological problems they created and they cannot overcome themselves.
  2. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Botswana’s President Declines Washington Invitation

    Matured leader.
  3. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  4. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

    Hapa umemaliza kila kitu
  5. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Fally Ipupa Se Yo na Mayday
  6. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Wa hivi tu, baaaaas
  7. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kwanini tangu D29 ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga umepungua sana?

    Timu za kariakoo ndo zinazotumika ku'push agenda za serikali dhalimu na pongezi nyingi kwa mama yao ilhali mashabiki wao wanapitia hali ngumu ya kukandamizwa na hao wanaopongezwa. Kuna mashabiki wengi waliofariki siku na baada ya dec 29 wakiwa hadi wamevalia jezi za timu hizo lakini hakuna...
  8. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

    Binafsi sidhani kama tunaweza kumtoa mtawala yeyote kwa kile kinachoitwa maandamano ya amani, kama tunataka serikali mpya ni lazima maandamano yaongezewe intensity yaani kiufupi lazima kiumane kisawasawa na sio maandamano ya amani kama tunavyoyaita
  9. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kila unapotoa pesa kwenye eneo hili unajitapeli mwenyewe

    Umemaliza kila kitu
  10. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    #prayformancity
  11. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hapa mgongo ulishapakwa mafuta, kilichobaki ni kuteleza kama chatu baaaaasiii🔥
  12. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu For Nobel Prize 2026 Tumuunge mkono

    Jamaa ametufunulia mambo mengi sana ya hovyo yanayotokea kwenye nchi, kiufupi nami naunga mkono hoja na Mungu amtunze sana kwenye hiki kipindi kigumu anachopitia
  13. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

    Huyu dogo mnamtetea kwa ujinga waku lakini apunguze kamdomo, yeye sio kwamba anabaguliwa kwa rangi yake hapana ni maisha na maneno yake ya kutokua na heshima nje ya uwanja ndo vinafanya watu waendelee kumchukia siku hadi siku, kuna wachezaji wengi tu weusi ambao wanautwanga fresh tu na...
  14. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani kawapa CCM mamlaka ya kutuma SMS kwa watu, kuomba wakapige kura kwa Samia?

    Nilidhani ni mimi peke yangu, au ndo ile ya sisiemu kuunganishwa na mfumo wa nida imeanza kujidhihirisha?
Back
Top Bottom