Niliwahi kununua mashamba huko Maramba, Tanga kwaajili ya kuotesha pilipili manga na iliki. Sasa kuna jamaa mmoja ni mkinga anaitwa dosho kama wewe ndio alikuwa ananionesha maeneo mpaka akaja kunifikisha milima ya Amani. Ila anapenda hela huyo na mjanja mjanja sana. Mwanzo nilihisi niwewenshafika😃, nimeshakaa makorora, sahare, kutembea nimetembe sehemu nyingi tu, umejuaje kama Dosho ni jina la huko,
Unajuaje kama sio mimi 😁Niliwahi kununua mashamba huko Maramba, Tanga kwaajili ya kuotesha pilipili manga na iliki. Sasa kuna jamaa mmoja ni mkinga anaitwa dosho kama wewe ndio alikuwa ananionesha maeneo mpaka akaja kunifikisha milima ya Amani. Ila anapenda hela huyo na mjanja mjanja sana. Mwanzo nilihisi niwewe
Ni yeye dosho12 anapenda sana hela😂😂Niliwahi kununua mashamba huko Maramba, Tanga kwaajili ya kuotesha pilipili manga na iliki. Sasa kuna jamaa mmoja ni mkinga anaitwa dosho kama wewe ndio alikuwa ananionesha maeneo mpaka akaja kunifikisha milima ya Amani. Ila anapenda hela huyo na mjanja mjanja sana. Mwanzo nilihisi niwewe
Aisee yule dosho ni mjanja sana na maneno mengi, kila siku anakuja na mbinu ya kunichomoa hela. Nina namba zake saivi yupo hapo chumbageni.Unajuaje kama sio mimi 😁
Imetoka mwaka gani?makaveli10 hii unaipata au huikubali nayenyeweView attachment 3548132
Huyu jamaa anajua mno yaani kuna kile kichupa chake anakwambia baby loveee kikali sana kile na kuna kile yupo na alikiba sio powa na kingine yupo na harmonize kali sana
Nas anajua sanamakaveli10 unaipata hiiView attachment 3548393
Nikopoa kabisa nyimbo nzuri sana hiiAaliyyah umeamkaje mpambanaji wanguView attachment 3548383