Recent content by mkemia mkuu mstaafu

  1. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Mkuu, hii ni kweli?
  2. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Proffesion: pharmacist Education: Bachelor Experience: 7yrs Skills Teaching methodology and Assessment of students in Health institutions Critical thinking MS suite
  3. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo/masharti gani wkt wa kufungua case CMA

    Kinachokuq considered ni tarehe yako ya mwisho kua kazini, I mean siku ambayo termination imetokea. As long as hizo siku 30 utalipwa mshahara wako utahesabika kua ndan ya muda. Ila kama hulipwi stahiki zako nashauri nyanyua majestic nenda CMA sasa hivi. Wale ndugu wako poa sana watakusaidia vizuri
  4. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siti ya mbele kabisa
  5. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Umenunua? Tuwajibike kudai risiti kwa kila manunuzi unayofanya

    TRA mmenifanya nifunge biashara yangu maana kila nlichikua napata hata kama ni kidogo mlikuq mnakitaka pia. Alooo nyie watu huku mtaani ndio mnaongoza kuchukiwa, wakitoka idara ya biashara halmashauri kwa chuki, basi mnafatia nyie.
  6. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Hii wanaita head hunting, kampuni nyingi hufanya hivi sana especially kama wanahitaji mtu mwenye uzoefu mkubwa na njia flani /route
  7. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

    Na toroli haha. Hizi raha yake uwe na nyumba yenye nafasi.
  8. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Kipi ni dhahabu kati ya Dengu vs Alizeti?

    Mkuu, wewe ni lulu kwenye hii forum Sijui ni nini umekiacha hapa aisee. Bravo.
  9. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Tivu, unatuaaa kwa alosto,na dawa unayo..mwaga story tukate alosto.
  10. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Nimewasili, japo kwa kuchelewa Shukrani sana
  11. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Na mimi mkemia wenu naombeni mnitag.. Maana na uzeee huu wa kustaafu , mbio za JF kila mara kuchungulia episode mpya kwangu zimefika tamati. Huyu mtoto mdogo amir analingana na mjukuu wangu lakin mambo anayofanya anastahili kuitwa kaka mkubwa na mimi. Mkemia
  12. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Ukiona haridhishi huduma anayokupa, unaweza kuvunja nae mkataba ukatafuta mwingine boss. Wafamasia wamejaaa wengi mnoo
  13. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Huu uzi unafurahisha sana. Mfamasia akija kuwa superintendent wako huwa upo mkataba unaowafungamanisha baina ya mmiliki na mfamasia msimamizi., kama unaona mfamasia anakuonea, ule mkataba unawezwa kuvunjwa kutokana na vipengele vilivyopo chini ya mkataba huo. Pesa unayomlipa mfamasia...
  14. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Maji yanayotumika badala ya buffer solution katika kipimo cha HIV SD-bioline ni sahihi?

    Refer hii study wakuu, sterile water for injection inaweza pia kitumika na ikatoa true results Niliwahi kuongea na rafki yangu ni Medical lab scientist alisema hii buffer simply ni water at pH 6( kama sikosei ni phosphate in water kuifanya iifkie hiyi ph, kuna mahesabu yao wanajua wao). Na...
  15. mkemia mkuu mstaafu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Saa za Giza Totoro

    Mtunzi tupe details za malipo
Back
Top Bottom