Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,556
- 23,915
33% ya Basic salaryMhhh...ulilipwa mafao yako yote au ulilipwa fao la kutokuwa na ajira? Halafu hili fao la kutokuwa na ajira wanatumia basic salary au ile take home?
33% ya Basic salaryMhhh...ulilipwa mafao yako yote au ulilipwa fao la kutokuwa na ajira? Halafu hili fao la kutokuwa na ajira wanatumia basic salary au ile take home?
ulilipwa yote au ndo huo mtindo wa 33% ?Nssf wamenyooka kwakweli
Me nilifanyaga kazi na UNDP mkataba ulivoisha nikapeleka kila kitu nssf nikalipwa within 3 weeks
Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzigo wako woteulilipwa yote au ndo huo mtindo wa 33% ?
Kama ni skilled labour means una profession, mara nyingi wanaanzia kama una diploma ni 33%.Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzigo wako wote
Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzigo wako wote
Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzi
Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzigo wako
inamaana baada ya kulipwa kwa miezi 6 Huwa wanakata kutoka kwenye account yako kiasi kinachobaki kutoka kwenye account ndo unasubiria hadi miezi 18 au wanakuwa hawakati kwenye account yako?Kama gross salary ni laki moja. Then utalipwa 33,% ya lakimoja kwa miezi sita. Then utasubiria miezi 18 kama hujapata ajira nyingine unavuta mzigo wako wote
Wnadai hawakati salio lako linabaki palepale, japo hilo sijathibitisha kwakweliinamaana baada ya kulipwa kwa miezi 6 Huwa wanakata kutoka kwenye account yako kiasi kinachobaki kutoka kwenye account ndo unasubiria hadi miezi 18 au wanakuwa hawakati kwenye account yako?
Mkuu, hii ni kweli?Sasa rasmi NSSF wameruhusu fao la mkupuo ambapo sasa unaweza kuchukua mafao yako yote na kusonga mbele
Ni kweli mkuu. Ila ili upate fao hili inakubidi uanze kuomba hili fao miezi mitatu baada ya kukoma kwenye ajiraMkuu, hii ni kweli?
yap nami niliambiwa hivyo pale ofisin ila ni mpaka ipite miez mitatu ndo uanze ufuatiliajSasa rasmi NSSF wameruhusu fao la mkupuo ambapo sasa unaweza kuchukua mafao yako yote na kusonga mbele
Ipite miez 3 toka umeacha ajira au kustafu?yap nami niliambiwa hivyo pale ofisin ila ni mpaka ipite miez mitatu ndo uanze ufuatiliaj
hii safi sana
Kuacha kazIpite miez 3 toka umeacha ajira au kustafu?
Ndio.Hivi ikiwa umefanya kazi kampuni X ukawa unawekewa pesa zako kama kawa NSSF,
baada ya muda ukaenda kampuni Y ukaacha kazi je vielelezo vya kampuni Y vinaweza kutumika kuchukua mafao yako yote hadi ya kampuni X ?
Muongozo tafqdhali
ThankfullyNdio.
Ukipata kazi nyingine au usipoitoa hata baada ya kukosa kazi hiyo haikatwi chochote. Ila ukiidai basi unakatwa pesa waliyokupainamaana baada ya kulipwa kwa miezi 6 Huwa wanakata kutoka kwenye account yako kiasi kinachobaki kutoka kwenye account ndo unasubiria hadi miezi 18 au wanakuwa hawakati kwenye account yako?