Recent content by mke wa mkuu

  1. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya uteuzi wa ubunge wa Viti maalum CHADEMA/UKAWA

    Hili bunge la ajabu litakuwa lakuoneana huruma sasa
  2. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Wakirusha itv mikutano ya ukawa sawa ila star tv kurusha mikutano ya ccm ni dhambi
  3. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    😅😅😅😅😅hiyo sura ilivyotulia kam ya nani vile mwenye club ya kuuza wanawake
  4. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

    Hawa watu nafikiri wanatuona watanzania wote ni mambululu wanataka kutimuza ndoto uzeeni
  5. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

    Wasituzuge wananchi wanajuana hao ndio maana wanalipiziana kisasi
  6. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

    Musoma najua watu wa kazi leo wanapiga deki kweli akili zako chanaganya na za kuambiwa
  7. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Lowasa ajiandae tar 25 kuyapata aliyoyapata zile na za 5 mbaya sana kwake nyota yake ya kukatwa kila tarakimu ya 5 inapoishia
  8. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Star TV mbona hamumwaliki Kingunge?

    Hana msimamo wa imani hana dini vipi atajielewa
  9. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Kingunge, wewe ndio umeishiwa pumzi sio CCM

    Na ukawa mtalipa vipi pesa za wafadhali
  10. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaitowa wapi jeuri ya kuunda serikali kabla kuchaguliwa?

    Janga kubwa zaidi ni kuchagua viongozi leo wako ccm na kesho wako ukawa tena kwenye ngazi ya juu kwa kupenda madaraka
  11. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaitowa wapi jeuri ya kuunda serikali kabla kuchaguliwa?

    Nimehamasisha familia yangu yote kupigia ccm maana ukawa siwaelewi kwa uongo kisha nikiangalia viongozi wao wamezoea kuongoza club yao ndio kitivo cha kuuza wanawake biliccanas naipenda nchi yangu
  12. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Swali: Humphrey Pole pole unamtumikia nani?

    Nini maana ya upinzani mnataka tanzania nzima tuwe ukawa
  13. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Mbatia ana macho lakini haoni ana masikio lakini hasikii, Maskini NCCR inakufa

    Watanzania mafala na wewe ukiwa mmoja wao
  14. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Mbowe na UKAWA/CHADEMA ni Vigeugeu, Wanafiki na Waongo

    Yote hayo yamenyeshewa na mvua ya pesa yamelowana yakapotea kabisa wakiwa waongo wawe na kumbukumbu wanatugeuza kam chapati mungu ibariki Tanzania
  15. mke wa mkuu

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere ijitathimini

    Mwenyewe musoma kakubali wapigieni wabunge wa ccm
Back
Top Bottom