Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

Huwezi kuwatofautisha, Lowassa, Kikwete, Kingunge, Sumaye, Magufuli na CCM.!

Tofauti ni kwamba waliokwenda upinzani wametakasika na wanafuata mifumo mipya kabisa ya uwajibikaji na uwazi hao waliobaki ccm ndo mafisadi watakaukumbatia mfumo kandamizi uliojaa dhuluma na wizi na utaendelea kusababisha mateso makubwa kwa wananchi!cha msingi sisi wananchi ndio waajiri wao tutawatoa kwenye sanduku la kura!
 
Mzee BUTIKU hana haya badala ya kuipigania rasimu ya katiba iliyomsababishia Warioba achapwe makofi Na Butiku kukimbia anahangaika Na ukawa.Mbona ufisadi Wa Escrow Azungumzii anaogopa nini?
 
Hivi kuna siku Lowasa ametoa maelezo ya kina kuhusu richmond zaidi sana Sumaye ndio anamsafisha kana kwamba mwenyewe kafa! asimame atuonyeshe hayo maelekezo aliyopata toka juu aache usanii wa kudekiwa barabara. Lowasa ni ukoo wa panya.

Jealousy at its best !!!mkuu chukua kamba ujinyonge maana mahaba niue dhidi ya mh EL inazidi kuongezeka siku hadi siku!tupeni taulo ulingoni mkuu malocks atauwawa!refer simamisha pambano hiyo ni TKO baba !!#ccm chalii!
 
Hata fisadi wa epa, escrow, meremeta, dowansi, wako ccm au chadema?
 
Hivi bila wasanii CCM inaweza kupata mtu wakumdanganya ama kuleta watu kwa maroli?
 
Hapa ni mabadiliko tu hakuna kazi wakati mambo ni yale yale tu
 
Jibu raisi sana,wala huitaji kufikiri,ata mtoto wa la pili anajua,hata mama ntilie na boda boda wanajua,NI LOWASA ambaye yupo Chadema
-Lowassa - RICHMOND taifa lilipoteza Billion 133 tu

- Magufuli - wizara ya Ujenzi ameiba billion 262 ref.taarifa ya CAG, ameuza nyumba za serikali zaidi ya 8000, amekamata meri ya samaki bila busara tunadaiwa zaidi ya billion 3.6.

**Vipi ndugu kwa takwimu hizo nani fisadi papa?
 
-Lowassa - RICHMOND taifa lilipoteza Billion 133 tu

- Magufuli - wizara ya Ujenzi ameiba billion 262 ref.taarifa ya CAG, ameuza nyumba za serikali zaidi ya 8000, amekamata meri ya samaki bila busara tunadaiwa zaidi ya billion 3.6.

**Vipi ndugu kwa takwimu hizo nani fisadi papa?

Good job educating us some of us didn't know this. Watu wanaongea tu bila utafiti lkn kwko ni vzr sn umenipa na wakanushe.
Mogombea Magufuli anatuambia yeye hana kashifa ni kwamba hatutaki tu kumuubua.
 
Wasituzuge wananchi wanajuana hao ndio maana wanalipiziana kisasi
 
Habari Wakuu?

Bado kuna utata uliojificha kuhusu nani aliruhusu kupitishwa/kusainiwa Mkataba mbovu wa Kampuni ya Kuzalisha umeme ya Richmond.
Kitendawili hiki tulitegemea kuwa kitateguliwa msimu huu wa kueleka Uchaguzi Mkuu 25-Oct-2015 hasa baada ya Lowassa kuihama CCM na kupewa ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema/UKAWA.

Mpaka sasa haijafahamika ni nani alikuwa Mmiliki halali wa hii Kampuni kwa kutajwa jina bali imebakia kuwa mafumbo, mmoja akisema Mamlaka ya juu ndiyo yaliyoruhusu na mwingine akisema ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Mikutano ya Kampeini huku wote wakikwepa kutaja majina.

Swali la kujiuliza, je,

1. Hawa watu wanajuana na wameamua kulindana?
2. Walishirikiana kwenye huu ufisadi?
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.Richmond ni mtoto wa ccm ndiyo maana unaona viongozi wake tena Rais na mawaziri,watu wenye mamlaka ya kuchukua hatua wanalalamika badala ya kuchukua hatua,Baada ya watanzania kusikia malalamiko yao tumeazimia kuchukua hatua kwa kuwangoa madarakani kwa kushindwa kazi tuliyowakabidhi sasa wamekuja na ngonjera za kututishia vita nk
 
Ilikuwa na haja gani Amiri Jeshi Mkuu, Kiongozi Mkuu wa nchi kutumia mafumbo badala ya kumtaja jina? Kumbuka Lisu anatembea na watu wengi.
Amri jeshi mkuu huchukua hatua si kulalamika na kuogopa raia wake,huyu ni mwizi tu kama wezi wengine huko ccm
 
Hivi kuna siku Lowasa ametoa maelezo ya kina kuhusu richmond zaidi sana Sumaye ndio anamsafisha kana kwamba mwenyewe kafa! asimame atuonyeshe hayo maelekezo aliyopata toka juu aache usanii wa kudekiwa barabara. Lowasa ni ukoo wa panya.

nakuhurumia sana..hujielewi nadhani, unafuata mkumbo...penda sana kutafuta ukweli nao ukweli utakuweka huru..
 
Mmiliki ya richie ni yule anayesafiri sana kuliko mtu yoyote tanzania.
 
Mmiliki wa Escrow ndo mmiliki wa richmond...ccm wanashupalia richmond kusahaulisha watanzania sakata la escrow kwani wahusika wote ndo wagombea ubunge na endapo ccm itapita uraisi ndo mawaziri tarajiwa...
 
Back
Top Bottom