Kingunge, wewe ndio umeishiwa pumzi sio CCM

CCM ikipita watanzania tutegemee maisha magumu ziaidi ya haya tuliyonayo sasa, nguvu ya fedha inayotumika kuendeshea kampeni zao ni kubwa mno. Wamekopa pesa nyingi mno kwenye taasisi na kampuni binafsi. Mwisho wa siku sisi ndio wa kuzilipa, CCM ndio chanzo cha umasikini wa watanzania tuikate kwa nguvu zote.

je ikatokea wakashindwa watayalipaje hayo madeni!
 
CCM ikipita watanzania tutegemee maisha magumu ziaidi ya haya tuliyonayo sasa, nguvu ya fedha inayotumika kuendeshea kampeni zao ni kubwa mno. Wamekopa pesa nyingi mno kwenye taasisi na kampuni binafsi. Mwisho wa siku sisi ndio wa kuzilipa, CCM ndio chanzo cha umasikini wa watanzania tuikate kwa nguvu zote.

Wamekopa shilingi ngap? Wamekopa wapi na wapi?

Hizo hela anazo tumia lowasa tangia kwenye michakato ya ndan ya ccm mpaka leo ni kias gan? Amezitoa wap?

Chanzo cha umaskini ndan ya nchi hii ni viongozi wabovu na wapenda rushwa bila kumsahau lowasa mwenyewe

Bora magufuli. Ameonyesha uadilifu kulinganisha na lowasa na ni mchapakazi. Historia yake inajionyesha

Usithubutu kuwachagua ukawa. Ukawa ni janga. Hawajajipanga, wanaongozwa na bingwa wa ufisadi lowasa, hawawezi pambana na ufisadi maana bosi wao mwenyewe ni fisadi
 
Watanzania hatujui kitu kimoja cha msingi sana.

Nacho ni hiki: Mwizi hubaki mwizi hata akiwa rais. Dhaifu hubaki dhaifu hata akienda ikulu. Msafi na mchapa kazi hubak msafi na mchapa kazi hata akienda ikulu. USIDANGANYIKE.
 
Unatokwa na mapovu tu wakati wachabuzi wa maswala ya siasa huko marekani na israel wameukosoa utaratibu mzima jinsi ulivofanyika kulingana na katiba ya ccm, kwamba kuna mambo yalikiukwa kwenye ule mchakato. Tusidanganyane hapa
we kweli hamnazo mbona mbona. hawakukosoa alivyokuwa ana honga wajumbe ccm laki mbili mbili, mbona hawakukosoa wenye chadema yao walivyoshikishwa 5 b
 
Too late miaka 50 inatosha sana unasgiba wenyewe tu kaaeni pembeni,CCM out Oct 25
 
Maelezo mchosho mtupu
Kingunge anasimamia anachokiamini si mtu wa kufuata mkumbo.
 
Watu wenye majina ya Katabazi huwa wanafikiria fizuri lakini kwa huyu ke naona kama anajitoa ufahamu!!
Bado siku .........
Mabadiliko................
 
CCM ikipita watanzania tutegemee maisha magumu ziaidi ya haya tuliyonayo sasa, nguvu ya fedha inayotumika kuendeshea kampeni zao ni kubwa mno. Wamekopa pesa nyingi mno kwenye taasisi na kampuni binafsi. Mwisho wa siku sisi ndio wa kuzilipa, CCM ndio chanzo cha umasikini wa watanzania tuikate kwa nguvu zote.

Pamoja sana mkuu hawa jamaa mafiemu wapumzike tu
 
Jamani jamani watanzania wenzangu wakati ndio huu na tukumbuke yote yaliyotendeka chini ya utawala wa CCM then tuamue na si kwa kufuata mkumbo
 
Wewe mletamada wala hakuna ubishi , kwamba ndiyo una hali mbaya kuzidi chama chako unacho kidifence .
Ccm imeishiwa pumzi , wewe umeishiwa pumzi na akili .

Umepoteza wakati kuandika utumbo mrefu , usio na kichwa wala kiuno .
Both , you and your party days are numbered !
 
CCM ikipita watanzania tutegemee maisha magumu ziaidi ya haya tuliyonayo sasa, nguvu ya fedha inayotumika kuendeshea kampeni zao ni kubwa mno. Wamekopa pesa nyingi mno kwenye taasisi na kampuni binafsi. Mwisho wa siku sisi ndio wa kuzilipa, CCM ndio chanzo cha umasikini wa watanzania tuikate kwa nguvu zote.

Na ukawa mtalipa vipi pesa za wafadhali
 
Watanzania hatujui kitu kimoja cha msingi sana.

Nacho ni hiki: Mwizi hubaki mwizi hata akiwa rais. Dhaifu hubaki dhaifu hata akienda ikulu. Msafi na mchapa kazi hubak msafi na mchapa kazi hata akienda ikulu. USIDANGANYIKE.

Historia ya chaguzi zetu inatuonyesha Mwalimu alimpendekeza na kumnadi Mr. Ben kwa kuwa alikuwa msafi. Kilichotokea mzee hakuamini macho yake. Kuna tatizo, na litaendelea kuwepo kama tutaendelea kutafakari kwa kiwango hiki.
 
Back
Top Bottom