Swali: Humphrey Pole pole unamtumikia nani?

Swali: Humphrey Pole pole unamtumikia nani?

Wananchi tuwe macho mchana na usiku tusije chagua mtu yeyote ambaye alihusika kukataa maoni yetu ya Katiba mpya kwani anatudharau na hatutakii mema. Hasa waie wahusika wakuu.

Waliokataa maoni ya wananchi ni Ccm ambao Polepole aliwapinga ila leo kapewa posho anaamua kuwageuka wananchi
 
Ingekuwa enzi ya RTD, Daily News, Uhuru na Mzalendo Humphrey Polepole angepeta sana… lakini kwa sasa wabongo hawadanganyiki
 
Polepole anawatumikia wananchi mimi kanisaidia sana kumjua vizuri EL, kanionyesha anapostahili kua Lowassa ni jela na si kwenye majukwaa ya kisiasa!
 
Polepole anawatumikia wananchi mimi kanisaidia sana kumjua vizuri EL, kanionyesha anapostahili kua Lowassa ni jela na si kwenye majukwaa ya kisiasa!

Lowassa akiwa jela Kinana, Mkapa, JK, Tibaijuka, Chenge wanatakiwa kuwa The Hague (ICC) maana watanzania wanajua kuwa ndiyo wameifirisi Tanzania kwa ufisadi na kujilimbikizia mali
 
POLEPOLE UNAMTUMIKIA NANI?

Na Ally Rama.

Nimetoka kuangalia mdahalo kuhusu amani; umoja na haki kupitia star TV pale ubungo blue pearl hotel..

Kwa title ya mdahalo; niliamini watajadili kuhusu haki; umoja na amani lakini wakajielekeza kwenye uchaguzi mkuu bila kugusa vipengele husika..

Miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala (si kwa Bahati mbaya) ni mjadala Wa urais kati ya wagombea wawili Magufuli na lowassa..

Polepole kwa nafasi yake; aliendelea kuonesha chuki zake kwa lowassa na alitumia mchakato Wa kupata katiba mpya kuelezea namna Lowassa alivyohujumu mchakato ule hivyo hafai kuwa rais na huo ndio ugomvi wake na lowassa ulipoanza..

Polepole kwa maelezo yake anasema; Lowassa ndie aliharibu mchakato na akaratibu harakati za kupinga kupatikana kwa katiba ya wananchi kwa kigezo cha kuwa mapendekezo Yale yanadhoofisha taasisi ya Urais..

Akaendelea kudai; walienda kumuomba akubali maoni yao lakini akakataa..

Nikaanza kuukumbuka mchakato ulivyokaenda na nikaja na maswali yafuatayo..

1: Lowassa ndani ya CCM hakuwa mwenyekiti wala katibu mkuu..
ndani ya serikali hakuwa hata Waziri..
Sasa nguvu ya kuhodhi mchakato ule bungeni aliitoa wapi?

2: hasimu wake kisiasa Mzee Sitta ndie Alikuwa mwenyekiti Wa bunge maalum la kufinyanga katiba ya wananchi..
Nae aliingizwa king na Lowassa??

3: mama Samia Suluhu Hassan ambaye leo ni mgombea mwenza Wa magufuli; nae aliingizwa king na lowassa afinyange katiba?

4: Mwigulu Nchemba; January na Vijana wengine Makini ndani ya CCM waliipinga rasim ya warioba; nao waliingizwa king na lowassa?

5: inajulikana hata adui mwingine Wa lowassa; paul Makonda alishadadia swala la kifinyanga maoni ya wananchi hasa kwenye kipengele cha muundo Wa muungano..
Akampiga Mzee warioba...
Akazawadiwa ukuu Wa Wilaya ya kinondoni..
Nae aliingizwa king na lowassa??

6: membe nae alipinga muundo Wa muungano..
Nae aliingizwa king na lowassa??

7: Mzee kikwete km rais Wa nchi aliishiwa nguvu ya kuhimili mihemko ya wabunge Wa CCM hadi akaelekea kibra..

Nae aliingizwa king na lowassa??
Aliwazawadia ukuu Wa wilaya Akina Makonda kwa kupinga katiba ya warioba..
Nae aliingizwa king na lowassa??

Eti kweli lowassa pekee ndie alikwamisha mchakato ule?

Kakangu Polepole; hebu kuwa mkweli hapa...

Hao unaowapigia kampeni ndio walokwamisha mchakato Wa katiba mpya..

Polepole Vaa uzalendo; Vaa utanzania..
Zungumza ukweli..

La sivyo tuambie unamtumikia nani??

Ni wazi kuwa Pole Pole hana Moral Authority ya kuwaambia Watanzania kuwa Lowassa aliingilia Mchakato wa Maoni ya Watanzania katika kuipata Katiba Mpya, Mchakato wa kuipata Katiba Mpya kama ni kukwamisha nadhani arudi kwa Mwenyekiti wa Ccm ambaye aliridhika na mambo ya kihuni yaliyopelekea kuvunja utu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Time ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba.

Pole pole alikuwa mfuasi wa Katiba ya maoni inayoungwa Mkono na Wananchi ya Serikali tatu na aliipigania sana na ambayo inaungwa Mkono na UKAWA. Ni ajabu sana kuona anaegemeza matusi na hoja dhaifu kwa Mgombea Urais wa UKAWA ambaye anatetea Katiba aliyoipigania.
Tumpuuze kwa kuwa in dhahiri kuwa anatumika na Ccm.

Edited by,
pg.

Anza kujiuliza wewe binafsi kwamba hivi unamtumikia nani ndio ufuate kumuuliza polepole,hakuna mwana UKAWA ambaye aliwahi kubali ufisadi wa lowasa,leo mnamtumikia nani hata mmuone anafaa,mlizunguka tanzania nzima kutuaminisha kwamba lowasa hafai ni mwizi na fisadi then leo mnamshangaa Polepole ambaye hajabadili msimamo wake kumpinga Lowasa.
 
mjomba mbona unakaukwa na kifua?? kwenye hela usiulize wala kushangaa chochote, polepole analipwa hela nyingi sana kumvuruga Lowassa kwa hoja vyovyote iwavyo azijengee mazingira watanzania waone kama anayoongea ni ya kweli.

hii imekuja baada ya ccm kufanya tathmini wakagundua UKAWA wanamkubali sana polepole tokea kwenye mijadala ya katiba michango yake, ccm wakaona watumie garama yeyote atumike polepole kumchagua lowassa.

Na pia saivi kama umemfuatilia Jaji Warioba naye ameingia katikati kutumika upande wa ccm pamoja na matusi yote waliyokuwa wakimtukana na kumdhalilisha ata kutishiwa kupigwa na ccm lakini leo jaji warioba amekuwa kama pamba kwa ccm wanamtumilia pia. ni fedha tu ndio msingi wa yote haya.

CCM ina watu madhubuti sana katika kutafta namna kuichafua jamii ili yao wao yawaendee lakini hufanikiwa kwa kiduchu sana, haitaathiri sana ushindi wa lowassa kutokana na watanzania wa sasa ni kuwa ni waelewa sana.

Wewe angalia tu wajumbe wa ccm waliotoka Zanzibar kwenye bunge la katiba walipoondoka Zanzibar walikuwa na maslahi mbele ya Zanzibar kwanza lakini walipofika Dodoma fedha ilifanya kazi yakapotea yote waliyoyadhamiria itakuwa polepole?

Usije ukashangaa siku 1 Polepole na Jaji Warioba wakaja wakaunga mkono waziwazi katiba inayopendekezwa na kusema yale ndio maoni hasa ya wananchi.

Tanzania ni nchi 1 mbaya sana, mfano mwengine J.Kikwete ndie aliyekuwa na kiu ya kupata katiba mpya alipoingia madarakani lakini nadhani uliona adhma yake hiyo alivyoikamilisha kila mtanzania amemshangaa sana.

Unafkiri wale wasanii kina Diamond katika nafsi zao ni wapenzi kweli wa ccm? ni fedha tu ndio inatumika wale waendelee kuwa watumwa kwa ccm. Africa kupata watu wasafi 100% jambo hili litachukua hata miaka 1000 zaidi kutoka sasa.

Jaji Warioba na Polepole walikuwa wakisema waziwazi kwenye makongamano mbali mbali kwamba chini ya mfumo wa serikali 2 Tz uchumi hauwezi kunawiri na kuwaletea tija watanzania wa sasa. Lakini utashangaa Jaji warioba na Polepole wanaunga mkono ilani za ccm kuelekea uchaguzi na kusema Magufuli ataleta maendeleo ya ajabu kiuchumi. hapa mkuu ni fedha tu inayofanya kazi wamebadilishwa ni fedha.

Saivi ukiisha uchaguzi watanzania turudi kivyetu tusimtegemee polepole kuja kupinga tena katiba pendekezwa wala usimtegemee tena Jaji Warioba ccm wana trick sana.

Kabla kusema polepole kahongwa kumkashifu Lowawasa unatakiwa utumwambie,na wakati ule mwembe yanga Slaa,tundulisu,mbowe na wengineo walihongwa na nani?
 
POLEPOLE UNAMTUMIKIA NANI?

Na Ally Rama.

Nimetoka kuangalia mdahalo kuhusu amani; umoja na haki kupitia star TV pale ubungo blue pearl hotel..

Kwa title ya mdahalo; niliamini watajadili kuhusu haki; umoja na amani lakini wakajielekeza kwenye uchaguzi mkuu bila kugusa vipengele husika..

Miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala (si kwa Bahati mbaya) ni mjadala Wa urais kati ya wagombea wawili Magufuli na lowassa..

Polepole kwa nafasi yake; aliendelea kuonesha chuki zake kwa lowassa na alitumia mchakato Wa kupata katiba mpya kuelezea namna Lowassa alivyohujumu mchakato ule hivyo hafai kuwa rais na huo ndio ugomvi wake na lowassa ulipoanza..

Polepole kwa maelezo yake anasema; Lowassa ndie aliharibu mchakato na akaratibu harakati za kupinga kupatikana kwa katiba ya wananchi kwa kigezo cha kuwa mapendekezo Yale yanadhoofisha taasisi ya Urais..

Akaendelea kudai; walienda kumuomba akubali maoni yao lakini akakataa..

Nikaanza kuukumbuka mchakato ulivyokaenda na nikaja na maswali yafuatayo..

1: Lowassa ndani ya CCM hakuwa mwenyekiti wala katibu mkuu..
ndani ya serikali hakuwa hata Waziri..
Sasa nguvu ya kuhodhi mchakato ule bungeni aliitoa wapi?

2: hasimu wake kisiasa Mzee Sitta ndie Alikuwa mwenyekiti Wa bunge maalum la kufinyanga katiba ya wananchi..
Nae aliingizwa king na Lowassa??

3: mama Samia Suluhu Hassan ambaye leo ni mgombea mwenza Wa magufuli; nae aliingizwa king na lowassa afinyange katiba?

4: Mwigulu Nchemba; January na Vijana wengine Makini ndani ya CCM waliipinga rasim ya warioba; nao waliingizwa king na lowassa?

5: inajulikana hata adui mwingine Wa lowassa; paul Makonda alishadadia swala la kifinyanga maoni ya wananchi hasa kwenye kipengele cha muundo Wa muungano..
Akampiga Mzee warioba...
Akazawadiwa ukuu Wa Wilaya ya kinondoni..
Nae aliingizwa king na lowassa??

6: membe nae alipinga muundo Wa muungano..
Nae aliingizwa king na lowassa??

7: Mzee kikwete km rais Wa nchi aliishiwa nguvu ya kuhimili mihemko ya wabunge Wa CCM hadi akaelekea kibra..

Nae aliingizwa king na lowassa??
Aliwazawadia ukuu Wa wilaya Akina Makonda kwa kupinga katiba ya warioba..
Nae aliingizwa king na lowassa??

Eti kweli lowassa pekee ndie alikwamisha mchakato ule?

Kakangu Polepole; hebu kuwa mkweli hapa...

Hao unaowapigia kampeni ndio walokwamisha mchakato Wa katiba mpya..

Polepole Vaa uzalendo; Vaa utanzania..
Zungumza ukweli..

La sivyo tuambie unamtumikia nani??

Ni wazi kuwa Pole Pole hana Moral Authority ya kuwaambia Watanzania kuwa Lowassa aliingilia Mchakato wa Maoni ya Watanzania katika kuipata Katiba Mpya, Mchakato wa kuipata Katiba Mpya kama ni kukwamisha nadhani arudi kwa Mwenyekiti wa Ccm ambaye aliridhika na mambo ya kihuni yaliyopelekea kuvunja utu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Time ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba.

Pole pole alikuwa mfuasi wa Katiba ya maoni inayoungwa Mkono na Wananchi ya Serikali tatu na aliipigania sana na ambayo inaungwa Mkono na UKAWA. Ni ajabu sana kuona anaegemeza matusi na hoja dhaifu kwa Mgombea Urais wa UKAWA ambaye anatetea Katiba aliyoipigania.
Tumpuuze kwa kuwa in dhahiri kuwa anatumika na Ccm.

Edited by,
pg.

Pole pole ndio anakwisha hivi mpolampola Hana hoja tena
 
polepole anawakamata sana vijana wa bavicha.... hahaha, msingwa alimkimbia...
 
Ufuasi mzigo kweli .....acheni ushabiki ....Pole pole katoa tuhuma kwa ushahidi halisi wa masikio yake mwenyewe .....mwambieni bwana mkubwa akanushe sio nyinyi kugeuka midomo yake wakati hamjui zaidi ya kuungaunga doti kwa kubahatisha .....
 
Leo Wazalendo wanaambiwa wamenunuliwa kisa kuna mtu anaitaka ikulu kwa hali yoyote ..... Huu ushabiki utakuja kutafuna taifa ....
 
Mi Kitambo Tu Nimeshatambua Kuwa Humphrey Polepole Wa Tume Ya Mabadiliko Ya KATIBA Sio Huyu Wa Sasa!! Ndio Maana Kuna Mchangiaji Jana Alimwambia MWANACHAMA Wa CCM Mwenye Ndimi 2 Kama Humphrey Polepole, Ni Watu Ambao Hawakubaliki!! Maana ALIWAHI Kuwahutubia Wanachuo Ktk.Midahalo ILIYOPITA Wkt Wa Mchakato Wa KATIBA, Kuwa YEYE ( POLEPOLE) Atamuunga Mkono MGOMBEA Ambaye Atasimamia Kupatikana Kwa KATIBA Ya WANANCHI, Yenye MUUNDO Wa SERIKALI 3! Sasa Mbona Ameyameza Maneno Yake!!?? Na Kuhubiri Tofauti Kwa WATANZANIA!!!?? Je, WATANZANIA Wamuweke Kundi Lipi, Kama Sio MNAFIKI Na Mchumia Tumbo!!!?
 
Ivi kwann uyo pole pole asije Mara aitishe mjadara haone wa2 walivyo na hasira na ccm
 
Muache afanye kazi itakayomfaidisha, unafikiri kwa kazi anayofanya itakosa kumlipa, anasubiri ubalozi au ukuubwa mkoa, hawezi toka bure,,,tanzania kila mtu maslahi tu. Hata kama maslahi hayo yanaangamiza taifa

Du yakitokea MABADILIKO atalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom