frank h. mwakalebela
Member
- Jul 13, 2015
- 26
- 5
wameishiwa sera hao.hansi pole pole ni mmoja katika vijana asilimia 68
Asante.Nadhani taasisi ndio haswa iliyopoteza muelekeo.Kuna Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Foundation) waliohost mdahalo wa Leo na ni tofauti na Kigoda Cha Mwalimu Nyerere amabacho naamini kiko chini ya UDSM. Hivi ni vitu viwili tofauti visichanganywe.
Nawaunga mkono, lowasa hafai
hii mizee ina ushamba wa kijamaa....ilizoea kusigizia mabepari wanawaoanea wivu na kuwachonganisha..ukiiuliza kwanini na yeyenye ilikubwali kuchanganishwa haina majibu..hawana cha kujibu ni ushamba na kujishtukia km mtu wa kijijini akiwa na hela nyingi mjini huku kaambiwa kila mtu wa mjini ni mwizi......inapiga kelele za kipuuzi tuu kwamba kila mtu wa mjini ni mvunja amani,,ni mwizi..ana mihemko...hata hela ikiweka ktk socks bado itatembea ikikagua sox kms i kuchomekea socks...lazima iibiwe...km itakavyoharibu amani yetu.nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu. Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai. Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
Kigoda cha mwalimu Nyerere kamwe hakiwezi kubali fisadi aingie ikulu
..
wameishiwa sera hao.hansi pole pole ni mmoja katika vijana asilimia 68
Sisi wananchi tumesha amua,raisi wetu ni Lowasa,hizo nyingine mbwembwe tu kama kupiga push up nakadhalika..
nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
Kigoda cha mwalimu Nyerere kamwe hakiwezi kubali fisadi aingie ikulu
..
Ndugu yangu Taasisi ya kina Butiku, kama unavyoiita, SIYO KIGODA CHA MWALIMU bali ni Mwalimu Nyerere Foundation. Kigoda cha Mwalimu ni Taasisi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sehemu ya Mlimani. Na mwenye Kigoda kwa sasa ni profesa Penina Mlama, baada ya Profesa Shivji kustaafu (kumaliza muda wake).
Nawasilisha.
Mwanzoni waliweka mbele utaifa.Vyama vyote vilikosolewa.kipindi cha katiba mpya mliwasifia sana tena polepole alikuwa kijana makini! ilifika mahali hadi tuliaminishwa humu kuwa warioba analindwa na vijana wa cdma!! leo kila kitu kimegeuka!! ahahaha wazee wa mabadiliko bhana!!!!