Baadhi ya kero za jiji la Dar
1. Makanisa yasiyo na mpangilio maalum yakiambatana na kelele za nyimbo za dini na mapambio.
2. Wingi wa bajaji zisizokuwa na mpangilio maalum wa vituo, zinaendeshwa hovyo/ kihuni/ kihatari na zina makelele ya midundo ya muziki kama ukumbi wa disko.
3. Boda boda...
Kuacha makanisa na kumbi za statehe, huku uswazi unakuta kila nyumba wanapiga mziki kila siku mwanzo mwisho yani hakukaliki wala hakulaliki. Ukienda kulalamika kwa mjumbe watu wanakushangaa. Kwa mwenyekiti wa mtaa ndio kabisaaaa, hamna linalofanyika. Na sheria zipo wazi kabisa zinazohusu noise...
Maalim akiwa Rais Znz, kuna hofu kubwa kuwa atarudisha usultani na akirudisha usultan ataamsha harakati za kudai eneo la sultan ambalo liko tanzania bara. Kimsingi hali itakua tete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani awe anatoa matangazo yake akiwa tayari ana bia tano kichwani, hapo ndio yatakuwa yamechangamka hayo matangazo, na awe more of himself zaidi ya kuigiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena tulikua tunakatiza ule mtaa huku tunacheza chandimu, tukitokea mafundisho st peters. Hivi lile josho bado lipo pale keepleft/round about?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walioshika dini ndio balaa kabisa. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu jinsi mama mke wa mtu mama ambae ni mama wa kanisa alivyogonganisha wanaume gesti. Ni aibu kubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.