Eagle house imejengwa awamu ipi ya uongozi?

Eagle house imejengwa awamu ipi ya uongozi?

Mitaa mitaa ya wakubwa iko lonely Sana
Obay zamani sana ilikuwaga hivyo
Na ilitakiwa kuwa hvyo....
Ukipita unaskia milio ya ndege na mbwa tu....
Enzi za utotoni tulikuwa tunaenda piganisha madogi huko
Ila sahv sehemu zenye ukimya tu wazee wa eagle house tu kote naona wamejitengenezea hivyo
Siku nenda obay ile road ya Ronnie's zamani
Kuna bar pale jioni wazee wanakuwepo wanakata maji wengi wao ni wanyama wakali

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya John bichwa mwingereza mmja alikuwa ndy a nasumbua obay na pikipiki
Uswazi pia anatia timu
Obay ilikuwaaaa kimyaaa kwa viongozi hasa
Sahv hadi mavyangu magenge viduka vko masaki na obay

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Magari ya Posta - Masaki wanapanda wengi ni Walinzi,House Girls/Boys,Wajenzi,wachache wakazi wa Msasani.
 
Natamani siku niingie ndani ya huu mjengo
 
Zamani ulikuwa unakatiza tu huulizwi
Sema huonani na mtu
Mitaa yao iko kimyaaaa
Hata kule hananasif hivyo hivyo kimya
Hata ule mtaa aliyekuwa anakaa pinda ni kimyaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena tulikua tunakatiza ule mtaa huku tunacheza chandimu, tukitokea mafundisho st peters. Hivi lile josho bado lipo pale keepleft/round about?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obay zamani sana ilikuwaga hivyo
Na ilitakiwa kuwa hvyo....
Ukipita unaskia milio ya ndege na mbwa tu....
Enzi za utotoni tulikuwa tunaenda piganisha madogi huko
Ila sahv sehemu zenye ukimya tu wazee wa eagle house tu kote naona wamejitengenezea hivyo
Siku nenda obay ile road ya Ronnie's zamani
Kuna bar pale jioni wazee wanakuwepo wanakata maji wengi wao ni wanyama wakali

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkandarasi alikuwa nani tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom