Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

au Alicia Keys..

Kuna kitu kimoja watu hawajakisema wanaume wengi wanaooa wanataka mwanamke anayeweza kuhandle majukumu ya nyumbani...mfano kupika, usafi na kulea mtoto pale watakapojaaliwa, sasa hawa warembo wengi muda huo hawana maana muda mwingi wanatumia kwenye kioo/mall/salon. Kuna mtu aliniambia kuwa baadhi yetu wanaume tunataka mwanamke mwenye qualities kama za mama zetu.
Sio kweli
 
Wengi walio wazuri wanachagua wanaume, haswa wenye fedha na vyeo makazini wanasahau kuwa hao wana wake zao na huishia kuliwa bata.
 
Hongera zako Maria. Wengine wanaogopa pressure za binti aliyeumbika kuangaliwa kila apitapo huku njemba zikitokwa na udenda.
:behindsofa:
Hili ndio tatizo na hata mm nitamuoa mwanamke average.
Unakuwa na dem mzur had kila mtu ana data.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%.

mfano wa haraka angalia tu hawa mabinti wetu waliovuma katika mashindano ya Umiss. Visa vyao vya kutembea na Wanaume Hunters na wenye pesa haviishi.

Ni wachache wa wanawake hawa ambao watakuwa na Inner Beauty ndo wanaolewa. Wanaooelewa bila Inner Beauty ambayo Wakuu wa jukwaa mnaita "Wife Material" basi ndoa zao zinajaa visa vya kila aina.

Ni nani hasa alaumiwe?
Shetani
 
Ni kweli kabisa mimi nikiwa ni mmojawapo huwa tunaringa sana sababu unakuwa na list ndefu huko nyuma inakusubiri so maringo kibao. Kuna msemo mwingine unasema men are like daladala if u miss one another one is around the corner.
Matokeo yake tunaishia kuolewa na wanaume wa ajabu ajabu tena wengine wazee. Maoni yangu sijamsemea mtu nimejisemea mwenyewe
Dena mambo? Dah longtime sijakuona humu jamvini.
 
Naunga mkono hoja 100% wengi wanaliwa na watu wenye hela ambao majority tayari wanandoa zao hivyo uishia kuchuna tu bila ndoa au wanazalishwa na kukimbiwa. Na wengi wanadhani uzuri wao ndio kila kitu kwa mwanaume hivyo uishia kuwa na maringo na nyodo vitu ambavyo kwenye kuoa mwanaume hataki kabisa mkewe awe hivyo
Nakuunga mkono Mkuu, wengi wao wanadate na waume za watu
 
Back
Top Bottom