Kama walivyosema wadau kwakweli oil tulizonazo nyingi zinapoteza viscosity haraka sana hivyo ni vema kwa misele ya town tu humu badili oil kila ifikapo 1000km. Ila endapo utasafiri safari kwa siku moja ya kama 400km ukifika badili oil itakuwa imepoteza kabisa viscocity level.
Binafsi nimetumia zote boxer 150cc na TVS 150cc, naona TVS ni bora sana hata kwa safari nimetumia sana. Tatizo la boxer 150cc ni 4 gear hivyo kwa safari ndefu ina-run ktk higher rpm hivyo mafuta mengi sana na power inapotea.
Mtoa mada kuna kitu anakosa kama kweli ni engineer. Analinganisha vitu tofauti kbs. Ni sawa na kusema manesi hospitalini wanajua sana kutibu wagonjwa kuliko madaktari. Hata ratio ya hayo makundi mahala pa kazi haifanani kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kbs mkuu, mtoa mada amesema yeye ni mhandisi au Engineer sasa sijui kwanini ktk level yake hawezi kutofautisha majukumu ya artisans na engineers. Makundi haya mawili kimajukumu ni sawa na usiku na mchana na wanaandaliwa kwa malengo tofauti kbs. Hakuna mahala Engineer atafanya kazi ya...
Yes mkuu hoja ya Nape ni nzuri tu coz hapingi ujio wa wanaohamia chama chake bali anaangalia kwa mapana madhara ya gharama za kurudia uchaguzi. Kwa msingi huo nadhani ndio maana alishauri uwezekano wa sheria mpya itayoruhusu wageni wahame na nafasi zao badala ya kurudia uchaguzi.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.