Recent content by mkanyipeda

  1. M

    Baada ya kuanza kuchepuka mke wangu ameongeza heshima kwangu

    Huyu tumpandishe cheo kwenye chama chetu Cha wazinzi
  2. M

    Natafuta vikapu vya asili

    Sema ulipo na utoe ofa Yako tufanye biashara
  3. M

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Boss naomba kujua bei za home theater watt 1000
  4. M

    Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Na valonge swela hela
  5. M

    Email ya HR wa Stamigold

    Wakuu habari ya jion naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye E-mail ya Hr Stamigold Nahitaji
  6. M

    Pendezesha Nyumba yako

    Kazi ina viwango tupe makadilio ya Bei Kwa mfano chumba Cha mita 5×4
  7. M

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Boss chapisho hili ni zuri sana, je una maarifa juu ya tahajudi(meditation).
  8. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Itezi, Mbeya

    Mkuu nipe kazi... Nilkuletee wateja
  9. M

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha - Picha ya Ndege

    Kibaha kubwa boss.. Fafanua ni kibaha ipi unayoieleza?
  10. M

    Msaada juu ya hii pete

    Chukua hata silver ya 45000
  11. M

    Msaada juu ya hii pete

    Hata kama pesa hamna ndio umvalishe Mtoto wa watu Pete ya 3000?
  12. M

    The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

    Inawezekana but sina uhakika, Na hizi work of art. Amini kile kikujazacho ww Vinginevo utapotea kwa kutapatapa
  13. M

    Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

    Nafikiri kuna kitu walikuwa wanasema Kwakutumia body language Ila nadhani ujumbe wao hakufika vizuri
  14. M

    Naomba msaada kujua juu ya water pump

    Habari wakuu Naomba msaada kujua juu ya water pump hizi zinazotumia mafuta, Je zina uwezo wa kuvuta maji kisima cha futi 50? Na kama zinaweza ipi pump bora zaidi Karibuni
  15. M

    Tapeli mwingine huyu hapa ndani ya jamii forum

    Huyu ni tp mdogo akija kwangu naweza mtapel yeye
Back
Top Bottom