mkanyipeda
Member
- Mar 8, 2018
- 24
- 19
Wakuu habari ya jion naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye E-mail ya Hr Stamigold
Nahitaji
Nahitaji
Ukiipata na mm naombaWakuu habari ya jion naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye E-mail ya Hr Stamigold
Nahitaji
Ushauri, ukiikosa. Ingia mtandaoni, tafuta official website, ukipata hata jina la muhusika ingia Linkedin mtafuteWakuu habari ya jion naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye E-mail ya Hr Stamigold
Nahitaji
Nawe ukiipewa,unipasishie.
Nawe ukiipewa,unipasishie.
ahsante kaka,je Kuna nafasi za ajira zimetolewa et,samahan laknok nilipiga intern pale
Graduate Program.) StamiGold Biharamulo Mine a subsidiary of STAMICO.
July/2016 –May/2017
Industry: Mining Industry/
Career Level: Entry Level-Junior
ahsante kaka,je Kuna nafasi za ajira zimetolewa et,samahan lakn
saw Kaka,nitashukuru saanKazi za Stamigold ziko Hivi ngoja nikujulishe kidgo
% kubwa ya wafanyakazi wa stamgold wametoka kwenye intern ambapo uwa wanafanya pale pale
so kwa mtu wa nje ni % chache sana kupata kazi ila nakutumia
email ya kazi
The M isine General Manager,
Stamigold Biharamulo Mine,
P.O. Box 103,
Biharamulo.