Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

Kuna tatizo kwenye mafunzo ya askari hawa

View attachment 773849 Kupishana huku kwenye gwaride kuna kitu hakipo sawa Either uvivu, dharau, makusudi, ama mafunzo hafifu

Sifa ya askari kupimwa nidhamu ni kwata na raha ya kwata vitendo viende sawa anyway napita tu.
Nafikiri kuna kitu walikuwa wanasema
Kwakutumia body language
Ila nadhani ujumbe wao hakufika vizuri
 
Kuna mananga hapo katikati walifanya zinaa kabla ya kwata

IMG-20180510-WA0031.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hizi kazi nyingine acha tu bana yani mishahara ya hao jamaa ni aibu, serikali sijui haioni umuhimu wao.
Inatakiwa muoneshe hasira zenu mkikaa kimya msitarajie makuu kutoka kwa watawala
 
Back
Top Bottom