Namuunga mkono thinkpad 100% Ukiangalia kwa umakini ni hivi Zantel 10GB ni Tsh 270,000/= yaani hiyo ni 27sh kwa 1MB
alafu speed ni kubwa kuliko ya mitandao yoote iliyo TZ yaani vodacom, TTCL, Sasatel, Zain, tiGO, Tritel, BOL hili halina ubishi.
Kingine kuhusu 3G kuwa expensive duniani...