Ndege ya ATCL yapata hitilafu angani!!

Hizi ndege zilishapigwa marufuku zisiruke. Wakatumia mabavu zikaanza kuruka.

Wamelifankamia shirika hadi limekufa, very good.

Afadhali ingelishukia tumbo ha hawa Vingunge wawili watatu wapate michubuko ya nguvu (free depilations) na kuvunjika kwa hapa na pale. Hapo ndiyo ingelikuwa kweli fair play Mungu anatuchezesha.
 
Mnakumbuka zile ndege zetu za zamani nadhani ilikuwa ni Kirimanjaro na Serengeti nakumbuka kitu kama hicho,
nasikia iliuzwa mojawapo ndio wakanunua hivyo sijui ni hicho kindege kibovu CASH wakati ndege huwa hazinunuliwi CASH ile ndege iliyohuzwa na mafisadi mpaka leo inapiga kazi nchi za nje na ni nzima.
Na huu ufisadi tuliufanya siri maana muugwana hakutakiwa ajue hii kitu maana nahisi wakubwa walicheza kekundu.

JE! tutafika?
 
---yakatisha safari na kurejea dar
---ilijaa viongozi wa serikali walioenda kuhudhuria sikukuu ya wanwake dunian iliohitimishwa na rais jk


ndege ya shirika la ndege atcl juzi ilikwamisha safari za maofisa waandazi mi wa serikali kadhaa waliojazana kukuelekea tabora kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

ndege hiyo iliondoka ikiwa imejaza maofisa hao ililazimika kuridi njian baada ya kupata hitilafu ikiwa angani na kusababisha kurudi...baadhi ya maofisa wa serikali waliohojiwa walikiri kukatishwa afari na kurdi dar ambapo ndege iliarisha kabisa safari ya tabora na hivyo kukosa siku hiyo muhimu

hataa hivyo kaimu mkurugenzi wa atcl bw william haji alipopigiwa simu ilibaki inaita kablya ya kujaribu tena na kupolekewa alisema tatizo lililoisibu alikuwa kubwa kama watu wanavyolikuza

kama kungekuwepo na hitillafu ningejua..lakini kama ilikuwapo ya kawaida imerekebishwa..

Kilichotokea siku hiyo ndege ilicheelewa kupona na muda wa kutua tabora saa tisa kutokana na kuingia giza mapema...jambo lililolazimishwa safari kukatizwa..

Hata hivyo alisema mzigo wa gharama a kuhifadhi mizigo na abiria zilikuwa juu ya atcl

srce nipashe 9march 2010
uzito wao na mahirizi waliyobeba ulizidi kiwango cha uzito wa ndege.
 
hizo warning,soon watu watalia na hio ndege,hebu fikiria hio ndege ikianguka residential area kama ilala,buguruni maafa yatakuwa makubwa vipi?hizo ndege si tishio kwa wasafiri tu,ni tishio kwa maelfu ya watz,mficha ugonjwa kifo humuumbua.
 
Kama janga lolote likitokea na ndege za ATCL , waziri Shukuru Kawambwa atabeba lawama zote kwani hatekelezi majukumu yake kimakini na hawaambii wakubwa wake ukweli juu ya hali halisi ya shirika. Hapo nyuma alilieleza bunge kuwa mchakato wa kumpata muwekezaji wa kulikwamua shirika la ndege alikuwa amepatikana na mazungumzo yalikuwa yamefikia hatua za mwisho mwisho; mpaka sasa shirika liko hoi bin taabani na imebakia ndege moja tu nayo inasua sua na waziri kaingia mitini bungeni haonekani kutoa taarifa anazotakiwa kuriaarifu bunge!!! Wizara haina mwelekeo kabisa na uchaguzi ndio huo ahadi za JK juu ya ATCL ndio zimekuwa kama ahadi nyingine za alinacha!! Inaelekea waziri kazi imemshinda ukweli ndio huo.
 
somebody has to sue them kwanza kwenye mamlaka ya usalama wa ndege wa kimataifa.
2 cases in two weeks is not a joke.
 
leo nimekutana na rafiki wa siku nyingi, nikamuuliza kwa nini hakuendelea kusomea urubani.
.......akanijibu kuwa he realised that when he will become one, there will be no aeroplanes to fly in TZ...nikacheka sana.
 
Habari inasema hivi, "...iliyojazana maafisa wa serikali". Sote tunajua maumbo ya maofisa wengi wa serikali. Sasa imagine wamejazana kwenye kadege kabovu............. malizia mwenyewe
 
Back
Top Bottom