Ushauri: Nataka nibadili rangi ya gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Nataka nibadili rangi ya gari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brooklyn, Feb 9, 2010.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Habari wana JF!

  Nina changamoto ina nikabili hapa, nimeona niilete kwenu kwa ajiri ya ushauri. Nimenunua gari aina ya Toyota Mark II GX110 nyeupe, kwa bahati mbaya shemeji yenu (ambaye ndiye niliye mnunulia) hajaipenda rangi hiyo. Yeye anapendelea rangi ya dark blue ama light blue. Kwa sababu bado sijaifanyia registration, amesisitiza niipeleke kwa wachina wakaibadili rangi.

  Binafsi I dont support the move, nimejitahidi kumshawishi aitumie kama ilivyo naona hanielewi. Hofu yangu mimi ni kwamba nahisi rangi original inayokuja na gari inadumu na kuwa ang'avu kwa muda mrefu bila kupauka kuliko hizi za kubadilisha.

  Je hofu yangu ni sahihi? Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na hili.....ili nimwelimishe mrembo wangu!!!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  Rangi za wachina siku hizi hazichelewi kupauka.
  Sikiens wana rangi nzuri sana, nenda kanunu halafu wape wachina wapulize.
   
 3. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hakuana haja ya kubadilisha ilo gari litakuwa baya sana,
  Rangi original imepigwa na mjapani sasa nyinyi mmeona haifai haya nendeni kwa wachina mtaniambia kama kagari hakajaja na manundu nundu kwenye body zima.

  Kama mkeo ana hekima ya kukuelewa mueleweshe lkn kama ni kimeo(mtata , Asikii la mtu, mjuaji) mwache na ubishi wake
   
 4. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  NENDA ZAPATA KONA YA CHANGOMBE ROAD NA PUGU ROAD [Next to the old petrol station] utasuuzika na roho yako
   
 5. Magpie

  Magpie Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  listen to her and make her valentine's day special
   
 6. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Tatizo moja kubwa [hata mimi hunikuta] ni kwamba hatujui vyema ladha za wake zetu ila wao wanatuelewa kupita kiasa. Kama kweli ulidhamiria kumfurahisha mkeo basi mridhie rangi aitakayo.
   
 7. N

  Nanu JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa mazingira ya Dar ya joto, gari yenye rangi nyeupe is very good kwani ina akisi mwanga badala kununurisha. Convince her that the colour is very good.
   
 8. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mmmm!! Ngoja nipime ushauri wa wadau!
   
 9. N

  Nanu JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini ukitumia rangi za siekens zitakaa kwa muda lakini ni ukweli kuwa rangi inayopigwa inafubaa mapema sana. dukuduku lako ni sawa kabisa. Halafu gari ukishapiga rangi kuiuza baadaye inaweza kuwa shida kidogo kama mnunuzi ni mtu anayejua gari.
   
 10. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Wife anasema rangi nyeupe kwa sedan hataki, eti inaonekana kama taxi au car-rental!!
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mwambie kama hataki hiyo rangi anunue lake maana inaonekana hamkushirikishana kabla ya kununua gari na pia zawadi haina masharti, unless ulinunua kwa hela yake na yeye alikupa specs ambazo hukuzifuata

  Kumbuka kwamba leo ukianza na rangi kesho atasema nyumba haipendi anataka nyingine au ubadili sebule iwe chumba na chumba kiwe choo na choo kiwe jiko ili jiko liwe sebule:confused:
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh... kazi ipo sasa... [​IMG]
   
 13. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la maana sana kumfurahisha mwenzio.
  Kumbuka kufurahi kwake ndo raha ya familia yenu, huwezi kufurahi kamwe kama yeye hana furaha ya kweli.
  Mpe adhari za kubadili na kama hajaridhia basi mfanyie atakacho
   
 14. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Nilimshirikisha, though mwanzoni kwake color haikuwa issue, alichosisitiza tu ni kwamba isiwe silver coz anayoitumia ni silver so would prefer a different color!

  Mambo ya wanawake si unajua.....they are so trendy!!
   
 15. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mzee hapo kny blue pako sawa? au mi ndo kilaza hapa.....Sedan ni Universal set?

  Back to the ushauri na maoni.

  Ni vizuri kumridhisha mwenzio, lakini ufanye hivyo bila kuharibu zaidi! Is true, re-painting car, rangi hiyo inafubaa mapema sana compared na ile original mzee, pili unachangia kiasi fulani ku-wear & tear gari lako kabla hujalitumia kabisa!

  Kubwa kuliko yote, ukija taka liuza hilo gari, hiyo itakuwa dosari namba moja! labda uwauzie washamba wa magari....hata ujieleze vipi, wateja watajua gari yako ilipata ajali au liliibwa........!

  Rangi nyeupe tu me is fantastic mwimbishe my wife wako mzee aikubali rangi hiyo......!
   
 16. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  I may be wrong....nijuavyo mimi wauzaji wa magari japan (sina uhakika na kwingine) wanatenganisha aina ya magari kama sedan, SUV, hatchback n.k. na hiyo GX110 ipo under sedan!!

  Nimeupenda ushauri wako....kwa sababu issue ya kuuzika gari ni muhimu sana hasa ukizingatia gari zenyewe hizi used unaitumia miaka 2 kisha unamtupia mwingine ahangaike nayo!!
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Huyo mkeo kwanza ana gari nyingine,

  kisha ummepatia mupya sasa hivi anadengua ivo kwa nini? angalia usije kuwa mtumwa wa mapenzi mkuu! stuka! kwa nini na nani alimdanganya kuwa gari nyeupe ni taxi? and whats wrong with it?

  Mweleweshe hela umeipata kiugumu, so alearn kuappreciate

  wakati mwingine nenda naye show room akachague...labda anapenda NADIA? ama RAV 4 anaogopa tu kukwambia kuwa hii gari sijaipenda?
   
 18. mundele

  mundele Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri ungeiuza na umuagizie nyingine yenye rangi aitakayo,nafikiri na kafaida juu utabaki nako..
   
 19. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ungenunua jipya ungepata option ya rangi, mwambie rangi original ndio yenyewe, au na yeye kajichubua?

  Mwanamke huwezi mridhisha, anabadilika kila wakati anapopata MP

  Sasa kama alikuwa na gari nyingine hii ya nini? Nyie ndo mnatuongezea msongamano mjini.
   
 20. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Point taken mkuu!!

  Si unajua najitahidi kum handle ki gentleman asishikwe na tamaa!! Wakuu tatizo nimeoa mwanamke mrembo sana na anayedeka basi inabidi kila kitu tujadiliane ili nisimkwaze mama mtoto wangu!!
   
Loading...