Mnafiki kama jk huyu mzandiki na mfitina tena kisirani.mwisho wa kwenda kitchen part kila anapoalikwa ulaya kwa rais wa tz ni 2015.tunataka rais asiyeshadadia ngoma na pilao
Ovyo sana hi mijitu.imewekwa madarakani na kuendeleza upuuzi wa ku deal na wakristu.hebu fuatilia ishu ya NHIF.wamemkaimisha ukuu pale mwenzao na kuteua board yao ili waifanye nhif kama msikiti.we mahanga na waziri wako mnamshindwaje dau mwenye madudu ya ajabu?hebu tuamke tupambane
jamani yote 9 ndoa ni muhimu sana.ndo maana wengine wanaoa zaid ya mmoja.kama hujaoa na umetimiza umri tunakuhofia una matatizo makubwa. Tena munoo.huwezi ongoza watu 45m wakati hukuwahi ongoza familia
jamani kati ya lisu na jk nani mropokaji?hamkumbuki tamko kwa walimu kuwa msinipe kura lilivyomgharimu jk.huyu bwana hana staha.huwezi kuwa rais wa vijembe na lawama.akimsikia lisu anatafta pa kutokea.dhaifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.