Zitto amshukia Lema kuhusu Posho

Zitto amshukia Lema kuhusu Posho

Status
Not open for further replies.
Mkuu umeuliza swali zuri sana,

Kuna wapuuzi wachache hapa wanatushangaa tulisema Zitto ni mnafiki,

Anatafuta huruma ya kiraia kwakuficha ufedhuri wake

Mkuu Yeriko punguza hasira njia ya mnafiki ni fupi tu pangeni hoja zitazo chambua na kutatua tatizo ili ukweli na msimamo tuujue ni wa mahala flani tu na si kwenye vitu vingine?
 
Zitto ni mnafiki na mdini sna. Kama anajali maslahi ya wananchi kwa nn alikubali kwenda india kwa pesa za umma kutibiwa sinusitis ugonjwa ambao ungeweza kutibiwa tz!!!mbona hakuwajalimadaktari wkt wa mgomo?.yy alishabikia alichofanyiwa ulimboka.
 
Zitto well done, hawa viongozi wengine tamaa zinawasumbua, sipati picha lets say lema awe waziri wa fedha! uhuni na tamaa tupu zimekujaa lema huna lolote! ktk hili umepotoka na hautoki luck you are in africa where you cant be hold responsible ila ingekuwa kwa wenzetu mbele winning next election ingekuwa ndoto za al nacha!
 
Zito ni mfano wa kuigwa siyo hawa wanasiasa pori kama lema na wazee wake wanaomtuma.
 
CCM na Zitto wenu,wanaCHADEMA na CHADEMA yetu,Zitto a.k.a mtafuta umaarufu wa kijinga,unataka ktk siasa kila siku wewe,hutaki kumsikia LEMA,LISSU au JJ,nyota zao ziking'ara,unahongwa na mafisadi unakuja kujificha kwa njia ya posho,vp lile gari lako la HAMMER ushaliuza au utasema umeazima,we know u ZITTO,na kama utaendelea tutamwaga kila kitu hapa pamoja na zile pesa za kwenda kusomea masters Ujerumani alikupa nani.....tumekuchoka Zitto!
 
Zitto ni mnafiki,arudishe briefcase la hela na dollari kutoka ujerumani ndio ntamuona wa maana!! Zitto. Kapiga hela sana hadi kazichokaaaa!!! Chezea zokka? Chesea TSA account?
 
Ni msimamo mzuri wa kutenda unachohubiri.Wabunge wanachukua mushahara isiyokatwa kodi.Ni mbunge gani aliyewahi kugomea mshahara usiokatwa kodi?

Ongezeko la mshahara kwa wabunge halijawahi kupingwa pamoja na kuwa ni wizi kwa wananchi Tunahubiri tunachotenda?

Ningechagua hypertension kuliko congestive cardiac failure!!!!!
 
Unataka fact gani?

Nenda chadema makao makuu,

Ukishindwa
Muone invisible atakupa kahifadhi kwenye sever yake,

Ukishindwa na huko basi nitumie barua pepe yako nikupe full fact

Hii maneno yako inamaanisha kuwa wanafiki mbele ya jamii na uso wa dunia ni wote wanaojua ukweli na hatua stahiki za kuchukua lakini wamekaa kimya wakiachia wafuasi wa chini wakibanjuana na wakati huohuo taswira ya chama ikigeuka huku nyufa zikiongezeka!!!!

Kama huu ndio mchezo hapa basi dhambi hii haitakiacha chama wima hata muda kidogo!!!!

Kama kweli wewe mzalendo; yaweke hapa kwa ID yako halafu utapima upepo hiyo mahakama ya umma utaishuhudia nguvu yake!!!
 
Natamani kweli tungeonyeshwa au kupata ushahidi kamili wa yanayoandikwa kweye hii thread
 
Mkuu Yeriko punguza hasira njia ya mnafiki ni fupi tu pangeni hoja zitazo chambua na kutatua tatizo ili ukweli na msimamo tuujue ni wa mahala flani tu na si kwenye vitu vingine?

Na hili ndio linanifanya mimi kuona kuwa tatizo ni wanaotuhumu na sio mtuhumiwa,wasaliti na wqbaya ni hawa kuliko mtuhumiwa hawa ndio nyoka wadogo!!!!!
 
yote haya watanzania tunayaona. na pia ni uzalendo kutoka kwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.

shida iko pale anapokataa posho halafu anachukua mabilioni gizani, ambayo ndiyo malipo ya hovyo kabisa kupita zote. kuna maana gani ya kukataa posho za wazi halafu gizani anapokea mabilioni ambayo ni kodi za watanzania?
hapo mkuu umegusa wengi ni wengi na wengi hasa. lakini msimamo wa Zito una maana sana kama watu watakuwa hivyo. kama vile viongozi wa dini watukatazapo kufanya matendo maovu tunatekeleza hata kama tunajua au hatujui mambo yao ya gizani. Principles zinabaki kuwa principles na mtu anabaki kuwa mtu na udhaifu wake. sasa tunajiuliza hizi principles za Zito si applicable/relevant? huku tukimweka kwanza pembeni.
 
Zitto katika Facebook wall yake leo. Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na wengine wa kawaida kabisa hatuchukui posho. Sio posho tu, hata msamaha wa kodi wa kuingia magari nimeukataa sababu ya misingi tu, kwamba siwezi kuwa Waziri kivuli ninayepinga misamaha ya kodi wakati huo huo nikachukua misamaha ya kodi. Ninaamini katika siasa za kutenda ninachosema. Mjadala wa posho kwangu mimi nimeufunga toka Juni 8, 2011 nilipoacha kupokea posho za vikao. Mwaka huo pia nilikataa msamaha wa kodi ya kuingia gari. Ni msimamo tu, hapa mtu hupendi msimamo wangu isiwe uadui, wewe endelea kuchukua posho, omba ziwe nyingi zaidi na wala sitatia neno kwenye msimamo huo japo nitaudharau maana posho za vikao ni kuwaibia wananchi ambao hawana maji safi na salama, watoto wao hawana walimu sababu Serikali haiwalipi walimu vizuri, kina mama waja wazito wan.we zito mnafiki tu kwenye vikao vya PAC nssf unapewa shs ngapi!zile milion 300 ulipokea za nini!
 
Nashindwa kabisa kuelewa kwanini ccm wanamwona zitto anafaa sana, hapa huenda kweli kuna usaliti anaufanya
 
nafikiri imefikia sehem ya kuchanganyana hapa kuna waliokataa posho na misamaha ya kodi wengine wanataka hiyo posho nam-question Zitto Zuberi Kabwe kama vyote hivi kavikataa na hii ni nzuri ila Zitto wazi wazi anaonekana ni mtu mwenye mali nyingi kapata wapi haraka haraka o kuna watu nyuma yake ndio maana anataka Urais na kupata Data za ufisadi nje ya mipaka ya Tanzania o za kurithi ila hapa sina majibu cha msingi ni kuwaangalia kile ninachoweza kuona kwanza hapa kwenye posho huu ni Uzalendo pamoja na misamaha ya kodi Zitto Kabwe kujitoa ni kitu cha kupewa sifa kwani kupitia Posho na misamaha ya kodi ni pesa nyingi zinatumika hapa hivyo Wabunge wa CDM na chama kiujumla kuweni pamoja kwa hili sio kumuona Zitto kama vile mchawi ,,happy sunday
 
yote haya watanzania tunayaona. na pia ni uzalendo kutoka kwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.

shida iko pale anapokataa posho halafu anachukua mabilioni gizani, ambayo ndiyo malipo ya hovyo kabisa kupita zote. kuna maana gani ya kukataa posho za wazi halafu gizani anapokea mabilioni ambayo ni kodi za watanzania?

Hayo mamilioni ya gizani Mbona ni porojo tu ushahidi hamuleti kamanda?
 
Hili suala mods walishalitolea ufanunuzi,hata huyo yericko alipoombwa ushahidi hajatoa,hivi unajua sababu ya mods kuitoa ile mada ubaoni? Niyale yale majungu,ulitaka zitto ajibu majungu yasiyo na ushahidi?

Rejea sheria za JF

SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:....
.........

6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

..................

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.



Katika post yangu nilisema Jason Bournie alileta ushahidi...hapa unanieleza yericko alioobwa ushahidi hajauto. Unataka kuwaeleza Jason ni yericko ?
Sawa, ebu tudhani yericko ni Jason Bournie...Je. katika ufafanuzi walioutoa Mods juu ya uzi huo kufutwa..walieleza ni hatua gani za kinidhamu watamchukulia yericko kwa kuzingatia kanuni namba sita ya JF?

Kama una link ya ufafanuzi wa Mods uweke kwenye majibu ya post hii.
 
Unataka fact gani?

Nenda chadema makao makuu,

Ukishindwa
Muone invisible atakupa kahifadhi kwenye sever yake,

Ukishindwa na huko basi nitumie barua pepe yako nikupe full fact

Huna lolote we kilaza endelea kulamba buti za Dr unatafuta "sympathy" kutoka kwenye chama ili ugombee uenyekiti wa vitongoji!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom