Sioni haja ya kuanza kupigana vijembe katika vyombo vya habari mithiri ya wasanii wasokuwa wastaarab kama ilivokuwa miezi iliyopita kati ya "wasanii" flani Tz beef iliyopelekea kituo flani cha radio kutwanga nyimbo za mamtoni tu siku nzima.
Kama Tundu Lisu alifanya kosa basi apelekwe kwenye vyombo vinavohusika na haki itendeke siyo kwenye Tv, redioni nk kama tunavoona kwa wasanii hasa wa nyimbo za taarab.
Hii inanipa wasi wasi kuamini hata yale yalosemwa juu ya MH Tundu Lisu.
Uchochezi ni kosa linaloweza kupelekea uvunjifu wa amani basi kama ni kweli naomba hiyo issue iende mahakamani siyo kwenye vyombo vya habari maana haki haitatendeka zaidi tutazidi kugawanyika.