Nssf tawi la kahama ni majanga..!

Nssf tawi la kahama ni majanga..!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Kwa kawaida mtu akifungua madai anatakiwa kulipwa ndani ya 2 weeks,lakini hapa ni tofauti..ni wasumbufu kinoma..!
bila kitu kidogo utakaa hata mwaka hujalipwa madai yako..!

Kuna ndugu yangu tangu afungue madai kila akienda anaambiwa cheki iko tayari ila haijasainiwa njoo kesho..kesho akienda jibu lilelile..
yaani wanataka rushwa mpaka kwenye haki zetu..!
 
We ni jinga, acha kuchafua watu.. nan amekwambia umpe rushwa?
na nan umeona katoa rushwa akashughulkiwa in less a month?
 
Mbona povu mkuu itakuwa imekugusa tu sio bure!
jaribu ubungo ukutane na vijana wale ndo utajuta.watakushauri ufungue akaunti nbc ili uchukue hela haraka uwape chao.utapigwa simu wee.mi nliwaacha mbaya
 
Back
Top Bottom