Recent content by mkagulu original

  1. M

    JamiiForums Tanzania He play stupid game, and win stupid prize

    s@~##$%^//* type !!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnyama wa taifa la Bongo

    watu wananyonya papuchi sembuse the kiti moto!! acha kabisa! roast na ndizi! ha ha ha its toooooo late mkuu mzizi mkavu acha watu wakonge roho zao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi maafisa elimu wa Halmashauri sita

    suamini! je kama wote hawakufikia malengo? afuje tu kodi zetu! Rais amtumbue huyu Rc!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mwenye mke mtukanaji wajibika

    huo upuuz uishie Dar. huku mikoani watu hawarembi mwandiko. kwangua gari ya mtu uone kama hawajakiwasha moto kigari chako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niaje wana JF

    rudi fb
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    jpm ni mstaarab sana tena anahuruma sana kwa majizi haya. haiingii akilini mtu uache mshahara wa 35m eti uje ufanye kaz for 3yrs bila mshahara!! eti mzalendo!! halafu utenguliwe uteuzi wako kwa kutumia lugha ya kistaarab tu ya kutopokea mshahara! halaf jitu linalalamika kwanini limetumbuliwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Titanic sunk by steering mistake, author says

    kulikuwa na walengwa ambao waliwaponza wengine. soma mambo ya illuminates utaelewa siri ya kuzama kwa titanic.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majini hupenda heshima na ni wakorofi sana

    chutama maana yakutokayo hufanani nayo hata kidogo! kwani mshanajr kakuaddress wewe! be at your age!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mda wa msosi huu

    uharibifu wa mazingira
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mpya wa barabara

    chanzo cha ajali!!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanne Kortini kwa kukaidi amri ya Rais, wakutwa wakinywa pombe muda wa kazi

    dah me ni mlinzi wa usiku naingia mzigoni saa kumi na mbili jioni natoka saa kumi na mbili asubuhi. msaada p'se! nipombeke saa ngapi? au ndo basi tena!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahubiri Uzalendo kwa wanafunzi wa Tanzania, Beijing - China.

    Hivi huyu jamaa haonagi aibu kutembelea miradi ya wenzake wakati huku kwake kumebuma?
  13. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    sisi kwetu mwizi au kibaka hufukuzwa kwa mawe, marungu na kelele nyingiiii! sasa mnaotaka rais afukuze mwizi kama sharobaro lazma mnamtatizo ya kufikiri. Hata January kuna wakati fulan aliwahi sema awamu ya tano inahitaji rais mwenye elements za udikteta. sasa Mungu katupa halaf wengine wanaleta...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kikwete kwa hili la Kigamboni

    the vasco da gama the fisadiz of my kodi and fedha za masikini. bilion 320 za escrow zingejenga km 320 za barabara kwa kiwango cha lami! but the jizi No 1 & his genge wamekwiba zoooote!! eti leo mtu na akili zake kabsaa anajitoa ufahamu kwa makusudi! eti asante naninani sijuwi! si bure we...
Back
Top Bottom