Mwonekano mpya wa barabara

Mwonekano mpya wa barabara

Hiyo barabara iko poa,ila nahisi huwa inamsongamano mkubwa sana wa magari nyakati za usiku.
 
df394ea0a7ddcd1e68ce2f25c4df1009.jpg
 
baada ya kufuatilia kwa karibu nimegundua ili kupita barabara hii unalipia pesa nyingi sana siyo rahisi kama ya kupita buguruni kimboka na sugaray hivyo nawashauri msiipite
 
Barabara nzuri ila wameiharibu kwa kuweka matuta makubwa.
 
Pamoja na ukubwa wa barabara hii uwezekano wa kuwepo foleni ni mkubwa kutokana na watumiaji wengi kuipenda kuitumia.sema ina matuta makubwa kama barabara za uswazi.
 
Hii barabara kama hutokei masaki and the like kuitembea utakusikia kwenye bomba.Wenye pesa bwanaa daa!!!
 
Back
Top Bottom