Nyumba mpya ipo kilomita 2 kutoka mbezi mwisho kuelekea barabara ya makabe, yenye uzio, paking ya kutosha na finishing ya kisasa, master bedroom na vyumba vingine 2,pamoja na sebule na jiko (inajitegemea) inatafutiwa mpangaji. kadi ni TSH 250,000/= kwa mwezi. Mpangaji anatakiwa awe na sifa...