Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili


....na hapo hajasema kama alipeleka mdomo na ulimi ujue!
mnh, watu kwa #Yoghurt!

yorghut wala kuimba kwa MIC hatuendagi hivi hivi ndo maana watu wanatapika na kuharisha
hadi kulazwa...........ile kitu inatakiwa iwe safi
 
yorghut wala kuimba kwa MIC hatuendagi hivi hivi ndo maana watu wanatapika na kuharisha
hadi kulazwa...........ile kitu inatakiwa iwe safi

LOL,... Heaven on Earth! ....kuna wale ambao haijalishi ni usiku au mchana
wao kwanza lazima kuzima taa na kufunga Curtains
almuradi papatikane #GizaTororo!

Hao ndio baada ya "kupiga #Vigelegele" Kwa sanaaa wanaibuka Moustache wote umejaa #Yoghurt
au kama Case ya huyu kaka, #MaziwaLala!
 
Inabidi ujifunze tena "ilimu" ya VVU.
Kwa taarifa yako: mimi na yeye tumepima. Wote ni "hasi", wewe je?

hehehehh,....
kwanza hongereni kwa "Kujitambua"
Pili, "Ilimu" ya VVU inshaallah nitajifunza tena.
kisha nitakwenda pima "hasi" yangu.
 
Yaani nimetizama hiyo avatar yako, nikakupa umbo halafu nikawa 'nakuona' namna unavyojiswafi kwa kidole! Usijali lakini ni imaginations tu za sie wanaume.

hahahahah, astaghafirullah... SMU mswalie mtume bana, kha?!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
Kuna binti mrembo wa haja maringo meeeeeeengi.

Baada ya kumpigia misele sana, alikubali. Siku ya kwenda kula tunda la mti wa kati nilihisi kutapika! Baada ya kuwasha gari kama dakika 5 hivi, ulianza kutoka utando mweupe kama vile mtoto mchange amecheua au matapishi ya kuvimbiwa "maziwa mgando".

Huo uchafu ulikuwa unanuka (harufu mbaya). Yeye alidai kwamba alikuwa hajapata hiyo kitu siku nyingi sana.

Nilipokutana naye baada ya siku kadhaa, hali ya uchafu ni ule ule!

Kuna jamaa wameniambia inawezekana huyo shi anatumia panadol wakati wa siku zake. Nilipomuuliza binti amekataa matumizi ya panadol.

Kwasasa huo uchafu haunuki ila upo!!

Hii kitu inasababishwa na nini?

Vipi mkuu ulienda hadi uvinza? mi nahisi atakuwa na utoko
 
Yaani nimetizama hiyo avatar yako, nikakupa umbo halafu nikawa 'nakuona' namna unavyojiswafi kwa kidole! Usijali lakini ni imaginations tu za sie wanaume.

hahahaaa nakusoma vyema mbona........mie mwenyewe huwa na imaginations zangu sana tu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sheikh...haya ya kupita tu!

....umeona ee? yaani #Imagination speed 120mph!....hapo sasa
bafu lenyewe liwe passport-size Uswazi halafu pembeni kuna kaghorofa ka ushakaji
unapata full view ya yanayoendelea Bafuni!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Barasu,
mkuu hilo lisikutishe.huo ni ugonjwa common sana kwa wanawake unaitwa candidios unasababishwa na bakteria wanaoitwa candida. kuna dawa za kuingiza ukeni dozi ni siku 6 anaweza hata kutumia dozi mbili na akapona kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom