Natafuta mpangaji- nyumba mpya

MKABESA

Member
Oct 15, 2011
6
2
Nyumba mpya ipo kilomita 2 kutoka mbezi mwisho kuelekea barabara ya makabe, yenye uzio, paking ya kutosha na finishing ya kisasa, master bedroom na vyumba vingine 2,pamoja na sebule na jiko (inajitegemea) inatafutiwa mpangaji. kadi ni TSH 250,000/= kwa mwezi. Mpangaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo;-Kazi halali yenye uhakika wa kumpatia kiasi hicho cha kodi pasipo usumbufu kwa mwenye nyumba. Kwa atakayekuwa na nia ya dhati mwenyenyumba atapatikana kuanzia tar 20/11/2012 kwa ajili ya kumwonyesha. Mwenye kuhitaji aonyeshe namba yake kwa mawasiliano.(only serius persons) :ranger:
 
mbona haujaweka picha na ujasema kama anataka rent ya mwaka mzima au anampango mwingine
 
Dah kweli biashara ya nyumba ni kinachomata ni location na sio ubora wa nyumba,, nyumba kama hiyo hapa sinza mtu ameingia kwa lak 5 kwa mwezi na nyumba ya kizamani Imeisha isha,,, lakini mbezi kwa sifa inaonekana imetulia na mpya lakini kodi reasonable kabisa..

Tatizo kwenda kupanga mbezi uteseke na vurugu la foleni plus nje ya mji starehe na mambo muhim hadi ufunge safari kuja mjini ndo watu wasiyotaka... But mkuu kodi yako nimeipenda sana na nyumba yako ilivyo kifamilia...
 
Back
Top Bottom