Mi huwa namwambia kabisa hakikisha nyama yako imeiva vzr ndo utuletee mezani la si na hivyo nimwambia sitokulipa ikiwa ngumu.
Juzi Kati nlienda kwenye harusi,aisee Yule mchomaji wao wa nyama nampa ten over ten.Nyama ilikua laini Hadi Raha,plus ladha.
Watu ambacho wanashindwa kujua,ni kwamba Kila mtu anatofauti katika mimba.Binafsi nkiwa mjamzito hakuna sehemu yoyote ya mwili wangu inayovimba zaidi ya tumbo.Sipati alama yoyote usoni kiasi kwamba ningekua mtu famous nako mimba yangu ingeanzishiwa debates 😀😀
Punguza Kula,punguza Kula.Kwangu hii inafanya kazi.Nikitoka uzazi huwa nakua mnene Sana,wanaonifahamu sio Siri huwa hawaogopi kunishangaa nilivonenepa.Ila baada ya muda Naanza kupunguza chakula mwili unarudi.Mfano Jan nlikua na kg 73 now 66.Nskuhakikishia mpk Dec ntakua na 60au 58 hizi ndo kg...
Relax,relax.Kama ulishaenda hosp we na mwenzi wako mpo fit relax.Wakati utakaokuwa hutarajii unashangaa Tu imo.Wala usianze kuhesabu trh za ovulation wala nn.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.