Recent content by mjt

  1. M

    Kashfa nyingine ya polisi Arusha mahabusu mwingine atoroka kwenye karandika.

    huu ni uzembe mkubwa kwa jeshi la polisi na inapaswa OCD awajibishwe kwa kosa hilo. vinginevyo mchezo wa kuigiza kila kukicha
  2. M

    Kauli ya Kikwete ndiyo ilichochea vurugu Zanzibar

    unapokuwa muongo kuwa pia mwepesi wa kukumbuka lakini hili rais wetu hakuliona kama ni tatizo sasahivi ndo anaanza kusema watu watoe maoni yao pasipo kukumbuka kwamba alizuia jambo hili. yaliyotokea Zanzibar aliyataka rais mwenyewe
  3. M

    Italy crisis: Silvio Berlusconi resigns as PM

    Tunahitaji viongozi wetu nao waige kwa wenzetu swala zima la uwajibikaji sio kulindana tu!
  4. M

    CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

    Tunawashukuru CUF kwa kusoma nyakati!
  5. M

    Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

    kaka umefikiria mbali hadi kutoa tathimini hiii............! keep on it.
  6. M

    Nape muasi namba moja CCM - Nangole

    nashindwa kuwaelewa washabiki wa ccm kama hawamtaki Nape waandamane 2waone kuwa wapo serious?
Back
Top Bottom