Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

Maji marefu korogwe vijijini,utapeli wa kiganga na wizi wa wake za watu vitamtoa roho
 
Hii thread imeniacha hoi.....hasa hizo 7bu mbavu zangu!!! Heko Top!

Lakini hata hivyo, kuna tatizo kubwa sana kwa aina ya viongozi waliotajwa hapo. Tujiulize hao waliowachagua hao vilaza/mzigo kuwa wawakilishi wao hali zao kiakili zikoje? Tatizo ni kubwa na pana zaidi ya kuwatoa tu hao magamba hapo, jamii husika zinahitaji matibabu sahihi kabla ya "kuchagua" tena.
 
Watu mnamambo? niko interested na Makinda hii tamaa ya kuolewa imekuja sasa tu hadi ashindwe kufika 2015, nieleweshe mtoa mada tafadhali au alikuwa kaolewa kaachika ndo tamaa imewaka sasa?
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

hapo namba mbili sio urembo......sema ukweli banaa!au unaogopa?
 
Makongoro Mahanga-Kesi
Lowassa-Kujivua Gamba
Shibuda-Kujivua Gwanda
L. Airo-Sifa na uroho wa Madaraka
Mwandosya-LTK
Mwakyembe-LTK
Mrema-Kisukari
 
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi

Jeremiah Sumary- Arumeru mashariki--- Kaugonjwa hakajulikani lakini hajaapishwa hadi leo
 
Maji marefu anakubalika sanaa. Km ww unaona ni mzigo kwa taifa, ukweli ni kwama si mzigo kwa waliomchagua. Anafanya mambo kwenye jimbo lake kuliko hata wasomi na wasio waganga
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

Unaota wewe!
 
Maji marefu anakubalika sanaa. Km ww unaona ni mzigo kwa taifa, ukweli ni kwama si mzigo kwa waliomchagua. Anafanya mambo kwenye jimbo lake kuliko hata wasomi na wasio waganga
Na kwa RA huko Igunga mlisema hivyohivyo!
 
Back
Top Bottom