dah ilikuwaje mpaka CUF ikaamua kutoa hilo tawi? Mia naomba unijuze mkuu.....
Honestly CUF ni chama kilichoistawi nchi jirani ya Zanzibar
Habari haijakaa vema imekuwaje wakaipa chadema ofisi je wamefanya hivyo kwa mapenzi au wamelaghaiwa?
Chadema ni ccm C
Katika hali isiyo ya kawaida CUF wameamua kutupa sisi CHADEMA ofisi yao ya tawi waliyokuwa wanaitumi.Tayari tumeshafuta maandishi ya CUF na kuandika maandishi ya CHADEMA na kupandisha bendera.
Mungu akijalia kesho Jumamosi tutafuta nembo ya CUF Iliyoandikwa wakeleketwa wa CUF na kuandika WAKELEKETWA WA CHADEMA.Hili tawi la CUF ni lile ambalo lipo KURASINI DAR ES SALAAM karibu na MSIKITI MDOGO hapa relini.
Natumia nafasi hii kuwashukuru wanaCuf na CCM wanaoendelea kuiunga mkono CHADEMA.
Asanteni sana.Mia

ni ofisi tu au hata wadau wamejiunga na cdm?
Nyie jimalizeni kwanza wenyewe halafu sisi tutakuja kumalizia tu...
Ulipogombana na mkeo jana ulichochewa na CDM?? Acha kuweweseka.Bora hata wengewapa kinamama wafungue mama ntilie kuliko kuwapa hao magwanda, wanaochochoea uvunjifu wa AMANI!
Siasa za bongo bana leo marafiki kesho maadui