Recent content by Mjomba Itufae

  1. Mjomba Itufae

    Tuliowahi kuonekana kwenye Tv ( taarifa ya habari) kwa bahati mbaya tukutane hapa

    Mimi ilikua 2012 baada ya taarifa ya habari ITV kipima joto. Ilikua mlimani city nimetoka zangu lunch jamaa alikua anaulizwa unamaoni gani... Namimi ndo nikawa napita
  2. Mjomba Itufae

    Kumbe upendo wa baba una thamani kuliko wa mama

    Baba ana nguvu sana kuliko mama! Mama anaushawishi tu. Ukisoma biblia vizuri utakuta baraka za Mungu kwa watoto, zimepitia kwa baba zao na si mama. Hivyo basi kwa ufupi tu, hata laana, ya mama haipo kabisa. Laana baba ndie anaweza kutoa vile vile na baraka pia. Siku hizi tunatishana sana eti...
  3. Mjomba Itufae

    Tanzanians, show us your roads

    Watanzania tumeungana na nyie Wakenya kupost barabara zenu. Huku hatuna cha kupost
  4. Mjomba Itufae

    Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

    Lile goli la tatu, messi anaweza akaombea mkopo bank bila dhamana wala riba yoyote [emoji23][emoji23]
  5. Mjomba Itufae

    Nimeitwa kwenye interview vodacom

    Kwa hiyo nafasi haihitaji mbwembwe hizo. Kikubwa uwe mjuzi wa kuandaa report kuhusu business inayofanywa. Na hapa unakua bega kwa bega na territory managers
  6. Mjomba Itufae

    Nimeitwa kwenye interview vodacom

    Kazi yako itakua kuandaa report kwa ajili ya mabosi zako wa Zone utakayopelekwa. Ujue sana MS excell na Powerpoint
  7. Mjomba Itufae

    Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

    Ameni kwamba kuna wachoraji wa aina hiyo na si photoshop. Mmtafute obeid_art instagram
  8. Mjomba Itufae

    Movie gani yakutisha uliyowahi kuiona inayoizidi FINAL DESTINASION

    The Conjuring 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mjomba Itufae

    Movie gani yakutisha uliyowahi kuiona inayoizidi FINAL DESTINASION

    The Conjuring 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mjomba Itufae

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Tupia hata picha mkuu, maana sisi wengine Dar mara ya mwisho tulikuja kwenye msiba wa Baba wa Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mjomba Itufae

    Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    Mimi sijashangazwa na hiyo picha, nikawaza tu, kwa mfano mitaani tunaona ombaomba na kweli wanauhitaji kabisa baadhi yao. Ukaamua kumchukua huyo ombaomba na kumtoa lunch kali hotelini, ukapiga nae picha then zikarushwa mitandaoni. Naamini watu waliowahi kumchangia wakimuona pale hotelini...
  12. Mjomba Itufae

    Tobaa! Nimedeti na demu Ana jinsia mbili anataka aniamze Mimi

    Kwa hiyo ukapata na muda wakupost huku JF? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mjomba Itufae

    Kwa mitego. Aliyonifanyia huyu shoga,,,, mungu alijua mapema ndomana akasimama karbu nami tuuuu...

    Hao jamaa wapo sana na story huanza hivo hivo. Dunia imeharibuka sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mjomba Itufae

    Ushauri: Serikali ianze kuwafuatilia Watumishi wanao-like post za Wapinzani na wanaoweka maandiko ya kuipinga

    Serikali ina mambo mengi sana ya kuwafanyia wananchi kwa ajili ya kuleta maendeleo. Kufanya vitu vidogovidogo visivyo na msingi ni kupoteza muda. Kweli unaweza kufatilia zaidi ya watu milioni kumi na tano waliopo mitandaoni!!? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom