Kumbe upendo wa baba una thamani kuliko wa mama

Kumbe upendo wa baba una thamani kuliko wa mama

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,010
Reaction score
5,681
Hapo vip!!
Nimejaribu kuangalia katika watoto wa wafamilia moja, huwa wivu huinuka kwa watoto wanaopendwa kwa kiasi na Baba dhidi ya wale watoto wanaopendwa Sana na baba. Hii tofauti na upendo wa mama kwa baadhi ya watoto, huwa hakuna chuki na wivu.

Mfano tumuangalie Yusuph kwenye Biblia, angalia pia issue ya Kaani na Abel..
Hili lipo wazi pia katika familia za kawaida tu, juzi kule mara tumeshuhudia huko mkoa wa mara mtu akimuuwa mdogo wake wakiume kisa anapendwa na Baba.

Sijawahi kusikia mtoto amemuuwa mwenzake eti kwasababu mama anampenda Sana, hata katika vitabu takatifu hakuna. Nasio kama mama yupo neutral no, ni wazi kuna watoto mama anawapenda zaidi ya wengine.
 
BABA NDO KILA KITU
1.ALIMTONGOZA MAMA
2.AKALIPA MAHARI
.3 .AKAWEKA MBEGU
.4.UNATUMIA JINA LA UBINI LA KWAKE
halafu wengine oooh nani kama mama.baba ndo mambo yote,hata daimond wenu anasahau bila ya baba yake mzee almasi kuweka mbegu yeye asingezaliwa,na wengi kwa upumbavu na ujinga mnamuunga mkono kwa kumyanyapaa baba yake.
kwetu sisi waumini wa dini ya kiislamu,.
1.baba ndo anatoa idhini ya kuozesha binti yake
2.ikitokea mtoto kafarki baba ndo anatoa idhini azikwe wapi
nashangaa wanaomuunga mkono daimond kumnyanyapaa baba yake kisa hakumlea.wanasahau uwezo wa mungu ndio unafanya mtoto akue sio wa binadamu ,baba anachangia tu.
nasubiri povu hapa kama lote
 
Unamjua Baba yako wewe ?kama sio ulitambulishwa na kufundishwa kumuita Baba
Upendo wa Baba ni wa vitu/mali
Upendo wa Mama ni halisi/nature

Baba akipenda huegemea upande mmoja na rahisi kukugeuka
Mama akipenda upendo wake uwa una balance hata akikupenda kidogo unatosha.

Baba akikupenda kuna kitu anategema kutoka kwako,una akili, etc
Mama anakupenda hata kama mtoto wake ni taahira
 
Anyway, huwa watu wabishi Kama ww wapo tu, wakuta support kwa watu fulani ila siku nyingine Kama huelewi mada Bora uache kuchangia.. Embu Niambie sasa.. Yule mtoto wa miaka miwili anavitu gani iliyomshawishi Baba yake kumpenda kuliko yule Kaka yake mwenye miaka 20.

Embu niambie kipindi Yusuph akiwa kijana mdogo kuliko ndugu zake alikuwa na Mali zip, zilizompekea Baba yake ampende kuliko wengine...?
 
Kwaiyo unataka nikubali niunge mkono kwa kuwa wewe umesema?

Baba ndio anayejua ni kwanini anampenda huyo mtoto
Upendo wa Mama hauna sababu ni nature/halisi

Baba anaweza kumpenda mtoto wake wa miaka2 na kumchukia wa miaka 14 kwa kugundua huyu mtoto alibambikiwa,kilaza,dhaifu zipo sababu nyingi kuhusu upendo wa Baba
 
Fanya ufanyavyo upendo wa mama uko juu kwa mtoto,baba tunapenda watoto tunaowaelewa kitabia,sura,huruka nk,

Naaam umesema ukweli bila kuyumbisha ukweli wa mambo..
Baba unaweza kusikia mwanao ni mwizi/mtukutu ukamdunda sana
Mama hawezi kufanya hivyo lazima aongee na mwanae
 
Naaam umesema ukweli bila kuyumbisha ukweli wa mambo..
Baba unaweza kusikia mwanao ni mwizi/mtukutu ukamdunda sana
Mama hawezi kufanya hivyo lazima aongee na mwanae
Naam na ndio maana wanasema mwana mpumbavu ni aibu ya mama
 
  • Thanks
Reactions: ris
Naaam umesema ukweli bila kuyumbisha ukweli wa mambo..
Baba unaweza kusikia mwanao ni mwizi/mtukutu ukamdunda sana
Mama hawezi kufanya hivyo lazima aongee na mwanae
Naona umeegemea kwenye mfano wa baba na mamaako tu...akina mama ndo wadundaji wakubwa
 
Mie naamini upendo uliopo kwa baba/mama kwenda kwa watoto ni sawa,ni vile tu watoto asilimia kubwa huwa karibu na mama ndio mana wanahisi kama mama ndiye bora kuliko baba/mama ndio ana upendo zaidi ya baba

Kimsingi kila upendo unaooneshwa kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto una thamani....sio sawa kuandika upendo wa baba una thamani zaidi ya wa mama
 
Baba ana nguvu sana kuliko mama! Mama anaushawishi tu. Ukisoma biblia vizuri utakuta baraka za Mungu kwa watoto, zimepitia kwa baba zao na si mama. Hivyo basi kwa ufupi tu, hata laana, ya mama haipo kabisa. Laana baba ndie anaweza kutoa vile vile na baraka pia.
Siku hizi tunatishana sana eti laana ya mama mbaya sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mama hana kitu zaid ya upendo tu kwa watoto. Baba anavyo vyoote.
 
Baba ni baba tu ni kiongozi hii mitoto inalishwa sumu na mama zao na vile inadekezwa utaskia Hakuna kama mama shubamiiiiit bila kumwaga mbegu zangu na jasho langu kuwataftia ungefika hapo

Mitoto ya siku hizi ina akili za broiler ikishikaa na mama zao kweny kigoda jikoni
 
Kwaiyo unataka nikubali niunge mkono kwa kuwa wewe umesema?

Baba ndio anayejua ni kwanini anampenda huyo mtoto
Upendo wa Mama hauna sababu ni nature/halisi

Baba anaweza kumpenda mtoto wake wa miaka2 na kumchukia wa miaka 14 kwa kugundua huyu mtoto alibambikiwa,kilaza,dhaifu zipo sababu nyingi kuhusu upendo wa Baba
No
Me sikulazimishi uniunge mkono, kwasababu Kila mmoja na mtazamo wake.
Ila kunatofauti ya Upendo wa Baba na wamama kwa watoto, Upendo wa Baba ni unique na niadimu.
 
Back
Top Bottom