- Thread starter
- #41
Poa mkuu
Ndo ivo me nakuambia
Ndo ivo me nakuambia
Mkuu wote mpo sahihi sema inabidi uangalie vizuri wanataka sofa gani na scope of work au roles za mtu wanaye mtaka ktk tangazo la kazi.
Kuna wanaemtaka Business analyst ambae ni aluesomea masomo ya biashara zaidi na kuna wanaemtaka aliesomea na kuiva ktk masomo ya ICT/IT.
By the way nimewahi kuitwa kwenye interview ya Business Analyst ambayo walitaka mtu wa IT pure, maswali yote yalikuwa mwanzo mwisho ni mambo ya IT kama System Analysis and Design, Project management, Systems Analysis n.k.
Tangazo lao lilieleza wazi wanataka mtu wa IT related field.
Pia kila siku tunaona matangazo ya kazi za Business Analyst ambae description zote zinahitaji mtu aliesomea masomo ya biashara sio IT.
Sijakubishia mkuu. Tunapeana experience tu mkuuHave been business analyst n i still am BA there so kama unabisha endelea but seems to me u knw nothing about business analyst
Watu mkiona neno business tu mnaona kama ni commerce na bookeeping eeh?for your information business intelligence,businness analysis,data analysis,data wharehouse and the co ..zote code tu baba ts all about OLAP and OLTp kama imewah kusikia so nasisitiza the guy has to knw either of these programming languages pythone au R
Hutaki kuamini haya gud luck
Sawa mkuu gud luck
But take t from me kama unajua python au r languages itakua kipaumbele
Huyo kachanganya System Analyst na Business Analyst!Hahahaha man unamlisha matango pori. Si kila analyst ni IT. Business analyst mara nyingini wenye professional ya BA..adminstartion. so apa umempeleka kwingine man
Umejuaje ilifanyika South Africa!?Thax mkuu. Maana shortlist imefanyika south africa. Kama ingefanyika hapa bongo sijui kama hata kwenye interview ningeitwa.
Wamesema kabisa kwenye tangazo kuwa shortlisting will be done in SA. na email ya interview imeto SA cc ma HR wa TZUmejuaje ilifanyika South Africa!?
Kusoma nchi za wenzetu sio kigezo cha Kujua lugha ya malikia maana unaweza Kuwa ulisoma urusi au nchi Za kaarabu au france au latin america ambako nako lugha inasumbua. Lakini hapa hapa kuna watu hasa hasa Hawa watoto wa school bus wanatema yai ni hatari. Mwisho baadhi ya kazi zitahitaji basic english na skills kwa wingi
Acha wivu
Wengi nyie mjiongeze mitandaoni.. kakuambia wapi aliona tangazo.. hata shukurani huna.
Mkuu mda mwingine huwa mnajikosesha opportunity hivi hivi maana wewe kama umeweza Ku post humu sidhani kama ungeshindwa hata kuingia Google ukaangalia hyo position kwa utulivu inakuaje na ukaelewa tu kuliko hapa.Point yngu ni kuwa hapa duniani bwana kuna watu ambao masikio yao ni dhambi kubwa kusikia vitu kama ivyo maana akickia tu umeharibikiwa,it means GUNDU
NB:Jaribu kuficha mambo yako ambyo yanakuweka katika position flan kama hyo yan pga chin chin ukifanikiwa at least ndo waweza kushare na wadau!!
Kwa hiyo nafasi haihitaji mbwembwe hizo. Kikubwa uwe mjuzi wa kuandaa report kuhusu business inayofanywa. Na hapa unakua bega kwa bega na territory managersHave been business analyst n i still am BA there so kama unabisha endelea but seems to me u knw nothing about business analyst
Watu mkiona neno business tu mnaona kama ni commerce na bookeeping eeh?for your information business intelligence,businness analysis,data analysis,data wharehouse and the co ..zote code tu baba ts all about OLAP and OLTp kama imewah kusikia so nasisitiza the guy has to knw either of these programming languages pythone au R
Hutaki kuamini haya gud luck
Yeah. Sio mambo ya IT. ni mambo ya product and market analysis, financial planning, budgeting and forecasting, commerce performance evaluation. Ila sio mbaya katoa ushauri pia
Kwa hiyo nafasi haihitaji mbwembwe hizo. Kikubwa uwe mjuzi wa kuandaa report kuhusu business inayofanywa. Na hapa unakua bega kwa bega na territory managers
anamaana telephone operatorWakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeitwa kwenye interview ya vodacom. Position ya Business Analyst (BA). Mwenye ABC's ya interview za vodacom ya hiyo postion anijuze