Recent content by mjoli wa kweli

  1. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

    Kama hutajali unaweza kuondoa hilo neno “Hayati” kwa mtazamo wangu sioni kama analistahili. Aitwe tu Marehemu inatosha. My personal opinions
  2. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi wanaume wa karne hii

    Wow. Laki tatu mamaa?
  3. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya vifaa hivi vya ujenzi

    Ndugu Amani na iwe kenu. Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini 1. Mfuko wa Cement 2. Nondo (12Mm) 3. Nondo (16 Mm) 4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu) 5. Tofali za ukuta 6. Tipa la mchanga 7. Tipa la Mawe 8. Tipa...
  4. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Well said
  5. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali

    Habari ya humu ndani wandugu Sina uhakika kama hili ni jukwaaa maalum kwa ajili ya shida yang ila sijaona jukwaa husika. Ombi langu ni kupata soft copy ya Katekisimu ya Kanisa Katoliki. Kwa mwenye uwezo wa kunisaida tafadhali. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Tumsifu Yesu Kristu 🙏
  6. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Nakuja Piem My Wangu
  7. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Narudi zangu ndani, nanawa mikono, napaka sanitizer natulia. Siendi tena nje
  8. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Kulikua na haja gani ya kusema unaacha muziki wa kidunia na unamrudia muumba, hlf sasa hv unasema unarudi mjini. Kwani kwa Mungu ulikokua umeenda ni kijijini? Akili kidogoo na Ujinga robota
  9. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

    Nishaanza kumuhurumis aliyekuwa mwalimu wako wa nwandiko
  10. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi sio Nabii, ila wewe ni CCM
  11. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Isabela Dereva wa tax aliyopanda Isabela Mmarekani wa Dsm Mjerumani wa Z’bar Halafu mnasema watatu(3) Please come back to your senses
Back
Top Bottom