Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

Ulikuwa ni uoga + ujinga + unafiki for survival.
Sasa hivi utapata tabu sana kuwapata hata kule mlikokuwa mnakutana kwa ajili ya mapambio, kusifu na kuabudu.
Kaacha heshima kubwa alikuwa jasiri asiyeogopa mtu wala kijitu. Mzungu alitoka kwao Canada kwa ajili ya kukutana nae pale ikulu, alikuwa na guts za kipekee, alisema makontena ya dhahabu hayataondoka mpaka tukubaliane vingine na ikawa hivyo.
 
Heshima ya udhalimu?
Makubaliano ya dhahabu? Ni siri tena ya kwao tu, wewe haumo, unaimbishwa mapambio tu.
 
Heshima ya udhalimu?
Makubaliano ya dhahabu? Ni siri tena ya kwao tu, wewe haumo, unaimbishwa mapambio tu.
Ukitaka kujua alipendwa kiasi gani alisindikizwa mpaka uwanja wa ndege pale katika ile sehemu ya ndege kupaa, watu hawakujali mazingira yalikuwa vipi. Huyo ndio mtu wa watu anavyoagwa, aliyegusa maisha ya wengi.
 
Mnaongea kwa unyonge mpaka mnatia huruma!!

Sasa anaachwaje kirahisi na wakati ameiacha nchi katika sintofahamu, kwa sababu tu ya makosa yake!
Nenda kayarekebishe makosa,ulitaka awe sahihi 100%? Makosa yanakamilisha ubinadamu wake
 
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.

Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.

"I embrace him because he walks my ways"

Pumzika kwa amani Magufuli.
Usiwe na wasiwasi hagombei urais tena 2025
 
Msiwe mnatuletea mada za kipumbavu,Sabaya ulimkuta lini anaelekezwa na Magifuli kufanya aliyo fanya?

Unatuaminishaje kwamba Sabay amefanya hayo yote na si tu ametengenezewa makosa na wabaya wake ambao aliwataka waipe kodi na watende haki?

Iwapo wewe mwenyewe hukua pamoja nao na unafanya kuleta mada kulingana na mawazo yako jaribu kupunguza ushamba na ujingi mwingi kisha ufuate maisha yako kuliko kuzungumza usicho kijua kwa mapenzi yako binafsi
 
Kama hutajali unaweza kuondoa hilo neno “Hayati” kwa mtazamo wangu sioni kama analistahili. Aitwe tu Marehemu inatosha.

My personal opinions
 
Waseme hao watu ambao Magufuli aliwasababishia hizo shida, lete ushahidi Magufuli alihusikaje? Kama ni kifo hata baba yako atakufa tu, kama alishakufa basi mama ako yupo njiani kwenda kaburini.
UNAONEKANA ULILIA SNA KWENYE ULE MSIBA AKATI WENZIO WAKILA BIA, ENDELEA KUMUENZI HUYO MUUMIANI
 
Back
Top Bottom