Men's talk: Kwenye kupanga first date, mualike mdada ghetto kwako, kama hataki muache

Ukikutana Na mdada Ukachukua namba yake, mkafahamiana kidogo, huna haja ya kumpeleka kwenye migahawa ghali, au kumlipia nauli, vocha, au kumpa pesa alizokuomba.

Wewe mueleze sehemu unapokaa, Na mda utakaokuwa free, Jibu pekee utakalotakiwa ulikubali, ni yeye kuja ghetto kwako, aje umvue nguo umgegede..baada ya hapo ndo kama we mwanaume uko vizuri kipesa, kama ukipenda waweza mpeleka hata Hyatt regency kwa ajili ya dinner, au mlimani city kwa ajili ya shopping Ya nguo zake.. au ukampa hata hela anayokuomba kama unayo..

Though kuna exceptions, kama mdada haji ghetto kwako, ila Unaona anapenda kuwa karibu na ww mkiwa wawili tu, ana ku-treat vizuri, hakuombi hela, usifanye haraka kumpotezea, we endelea tu Kua nae Kwenye mahusiano..Hadi aji-prove otherwise.

Akikwambia hana nafasi, au yuko busy kuja ghetto kwako, au First date akitaka mkutane sehem ambayo ni public, au aje ghetto hlf akatae mgegedo, Au akuahidi anakuja siku fulani Hlf haji, huyo mwanamke ni muongo, hana hisia na wewe, na atakusumbua sana hata ukiingia naye kwenye mahusiano, kwahiyo msahau.

Dating ya mwaka 2022 kwenda mbele, inabidi wanaume tuwe na maamuzi ya ng'ombe ya kunya huku tunatembea, ili tuokoe muda.
nimekuelewa mkuu ...naahidi sitokuangusha kuanzia 2022
 
Kunya Kama ng'ombe aisee nimecheka Sana all in all mtoa maada shukrani nitaufanyia kazi ushauri wako ingawaje nimewah kuufanyia kazi nikaambulia manyoya ila nitaendelea kukomaa nao ...tubuni Dhambi yesu anarudi
 
Niwape kisa kimoja;
Last weekend nika match na mdada moja mrembo kwenye ulevmtandao wetu pendwa wa kimataifa. Kuchat kidogo tu akatoa namba tukapanga tukutane wapi basi mimi bila kusita nikaenda.

Nimefika pale nikaanza kuagiza badi yeye akajifanya kama vile ile sehemu ni mara yake ya kwanza kufika hivyo akawa ana kufanya kushangaa bei ya vinywaji.

Baada ya mfa nikamshawishi tukapige kitu moto jirani na kwangu tulipofika niksmpa offer ya kwenda kumtengenezra dawa ya mafua nyumbani; jibu alilolitoa lili nishangaza.

Aliniuliza unajipa shilingi ngapi?
Kusema kweli sikuwa na nia ya kumla siku hiyo lakini kwa sababu amenionesha kuwa anauza ukaona isiwe tabu ngoja nikapige tu ilinhata hiyo pesa niliyotumia kwenye vinywaji niifidie kidogo; nikamwambie ataje anataka shilingi ngapi.

Hapa na pale akasema 100k na pia inatakiwa ikifika saa sita awe amerudi kwake.

"Ni Wafanyabiashara wa miili yao kwa 100%"
 
Hii ni HELA, Mkuu!
Hatuwezi igawa gawa tu kana kwamba tunagawa Ujugu au Big G kijiweni.

Tukishaishiwa nyie ndiyo mnakuwa wa kwanza kutunanga kwenye vijiwe vyenu vya ususi kwamba yule ex wangu kachakaa hana jipya.

Kwa hiyo wanaume HELA wanaitoa ila kwa mahesabu makali sana.
Dinazarde
 
Hii ni HELA, Mkuu!
Hatuwezi igawa gawa tu kana kwamba tunagawa Ujugu au Big G kijiweni.

Tukishaishiwa nyie ndiyo mnakuwa wa kwanza kutunanga kwenye vijiwe vyenu vya ususi kwamba yule ex wangu kachakaa hana jipya.

Kwa hiyo wanaume HELA wanaitoa ila kwa mahesabu makali sana.
Dinazarde
 
Hii ni HELA, Mkuu!
Hatuwezi igawa gawa tu kana kwamba tunagawa Ujugu au Big G kijiweni.

Tukishaishiwa nyie ndiyo mnakuwa wa kwanza kutunanga kwenye vijiwe vyenu vya ususi kwamba yule ex wangu kachakaa hana jipya.

Kwa hiyo wanaume HELA wanaitoa ila kwa mahesabu makali sana.
Dinazarde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom