Msaada Tafadhali

mjoli wa kweli

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
630
381
Habari ya humu ndani wandugu

Sina uhakika kama hili ni jukwaaa maalum kwa ajili ya shida yang ila sijaona jukwaa husika.

Ombi langu ni kupata soft copy ya Katekisimu ya Kanisa Katoliki. Kwa mwenye uwezo wa kunisaida tafadhali.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Tumsifu Yesu Kristu 🙏
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom