Recent content by Mjenda Chilo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi

    Wewe ndo mwamba sasa. Kudos
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yaani? Nahisi watu Wana stress sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maji hayatoki Kimara karibu mwezi sasa. DAWASA shida nini?

    Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao kwasasa naona kimya kabisa, zile amsha amsha hazipo. Basi mtupe hata taarifa tatizo ni nini na maji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Kalipa nauli mwenyewe mpaka Dodoma au anaishi Dodoma?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeoa single mama

    Kweli mtalaka hatongozwi ila hamna namna, fuata moyo wako maana hata fresh kama hana misimamo nae anamegwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

    Russian fever
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Hilda Phoya wa Azam TV ameolewa?

    Kumekuchaa kumekuchaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Wewe ni mnyonge sana, kwa tabia hizo huwezi toboa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kuwa makini. Tozo zitakuharibia malengo ya kuwa Rais

    Yani Mwigulu awe rais? Acheni utani aisee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

    Ingia website TRA ingiza details za gari utapata ushuru elekezi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

    Njoo chumbani tuyajenge.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Wewe ni mpuuzi na huenda ndo huyo mwanafunzi mwenyewe. Fimbo 20 kidogo kwa katoto ka F.3 kukutwa ama kuhisiwa kuwa na simu.
Back
Top Bottom