Recent content by Mjeda1

  1. M

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    Mi nadhani wabunge wa DSM hawana hoja. Meya aliwaambia wanafikiri kwa kutumia MA...:rant::ballchain:lio yao lakini hakuna aliyelalamika . Sasa hili la nauli limewasibu nini? Hawaoni hali halisi ya uendeshaji wa kivuko ni ngumu? Wamwacha Magufuri achape mzigo
  2. M

    Tujikumbushe ILBORU

    Don't you remember Ekenywa? Kishuu or Bwashee on the way to Ilkiding'a/Olturoto? I miss thise good days with Bino and Mzulu? Those were the first days of Special school.
  3. M

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Naona kwenye Thumnail kuna viongozi Wakuu wa Kitaifa:, Dr. JK, Dr. Bilal, Yandege, Msekwa, Wamkulima, Balozi Ali Seif Idd EL. hivi yeye ana nafasi gani vile? Au ndiye Rais Mtarajiwa?
  4. M

    Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

    kama manyerere naye ameingia kuupepea ufisadi wa EL basi nguvu ya pesa ni zaidi ya tsunami. huyu kijana alikuwa mzalendo safi, BASI TENA...echaro chafwaa!!!!
  5. M

    Did Mwalimu die a natural death?

    Shimbo! You're right on the question. The JF community should check on that coz few days before he 'kicked the bucket', one of the big figure visited him and we were told that, he was gaining strength. But, two days later he was no more! At the time, we heard his personal doc. had crucial info...
  6. M

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Bandugu. Baada ya Bunge la 9 kumng'ata Mhe. Ed Ngoyai Lowassa (MB) na kumtupa jalalani. Kila kitu kimefanyika na kufanikiwa kumrudisha tena kwa kishindo. Spika Mwana wa Ndege ameelekezwa vya kutosha na kuunda Kamati za Bunge zikiwa na mapandikizi ya mzee wa RichMonduli. Mwenyewe amejichagulia...
  7. M

    Uongo wa Mizengo Pinda kuwekwa hadharani 14.02.2011

    Tunataka mbivu na mbichi zionekane. Mungubariki (MB) akishawasilisha utetezi wake kwa Supuka Mwana Ndege (anne makinda) afanye press conference.
  8. M

    Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

    Lazaro Nyalandu alias KIHIKA (the betrayer) nilikuwa naye Ilboru boys 'A level'. Anapenda sana uongozi', lakini tulimpiga chini wakati anataka u-HP. Baadaye aligombea Uenyekiti wa UKWATA Taifa na kushinda. Akchare baada ya hapo ni kama aliasi shule. Akawa kiguu na njia kuzunguka Tz. Majibu yake...
Back
Top Bottom