Ni taarifa za kiintelijensia... au??wako kwenye mpango mahususi wakupoteza /kuharibu nyaraka zote na lema asiruhusiwe kusoma utetezi
Wabunge wengi wa CCM ni vilaza! wagumu kuelewa mambo,wanaosukumwa na ushabiki wa chama na kutaka kuwakomoa CDM, lazima watamfungia GL. Ikitokea hivyo, naunga mkono maandamano, mimi mwenyewe ntaandamana.