MTAZAMO USHAURI....Serekali, lazima itambue kuwa kushindwa kwa viwanda hapanchini ndicho chanzo cha kuingizwa malighafi zisizo na viwango sahihi, na kutowapa wananchi elimu za uzalishaji mali zenye ubora wa kimataifa ndio una fanya hata kazindogondogo, zina ingiliwa na wageni, na kuto wapatia...