Recent content by mjasiliamali 2020

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chadema isonge mbele

    Maccm yatakapokuwa mapinzani 2015 na lichama lao litakufa siku hiyohiyo. Nayachukia sana yamewafanya wtz waish na misongo ya mawazo kila kukicha, hawana aman mioyon, kila mtu, kila family, taacc mbalimbal, din zote na vyama vya siasa. Naiombea sana chadema. Naamini cdm italigalagaza 2015...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Zitto...

    Sikio la kufa cku zote halisikii dawa! na kusikia kwa kenge mpaka apigike damu imtoke mackion. So msimhangae zzk ni kichwa ngumu. Ataisoma namba baadae sana. Anajiamin et anaakir sana kuliko wana cdm wote!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM inajiandaa Na UMWAGAJI WA DAMU

    "Mwigulu wenu atakufa kifo kibaya sana" na kwenda jehanam
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya

    Ni kweli we waache wajifuraishe tu. Au wanadhani nyakat hiz na maisha haya bado kuna mamburula wengi?; wataisoma 2015 wataduwaa. Waacheni tu wapoteze mda.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chama bora cha siasa hapa Tz

    "chadema" mwanzo mwisho.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mwanake ' sura kwanza tabia baadae.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

    Dr slaa ni mashine ; Li chama la zamani linajutia uwepo wake....
Back
Top Bottom