Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Status
Not open for further replies.
Be mkwamisi amaligo igoo si manofu ha.

Unaonaje nikitumie tkt uje kupiga boxi huku walau uweze kujikimu?

Una passport?
unyeeee maana vevewakwidayi umjuaji sana wa iwendaa uligage vayago. inooo mwitang'ine ye mwiselee unafuuu gulefuuu veve
 
Kijana unajazba nimekuuliza upo kigoma pande zipi/unakimbilia sorce na nimekuambia mimi nipo ujiji,wacheni kudandia magari kwa mbele,mkajifanya ninyi ndio wafia chama haliyakuwa hamna lolote,mnakurupuka tu na jazba kibao,kila kitu ndio mzee mna furahia ubakwaji wa democracy na kamwe hamto fika mnapo taka,jikazeni tuu ila KIFO CHENU KIMESHA WADIA.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

Yetu macho na masikio ngoja tusubiri tuone hayo mapokezi unayoyaongelea maana katika khali ya kawaida sitaajii Dr. Slaa apate mapokezi makubwa Kigoma labda kama ingekuwa anakwenda Karatu. Imani ambayo watanzania wengi walikuwa nayo kwake yeye na CDM imeporomoka na itachukua muda kuijenga tena. Watu makini kama Prof. Baregu wamesha liona hili, nadhani ndio maana CDM walimwambia ajitoe kwenye tume ya marekebisho ya katiba akakataa anajua maamuzi yenu mengi ni ya kukurupuka
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

??????
 
Tarehe 8 Dec sio alhamis bana
 
...

.....chadema ni mkombozi wa wananchi

onyo

.....ukipambana na chadema jiandae kupambana na wananchi

CDM mali ya wananchi ni mpango wa Mungu,kila apambanaye na MUNGU atakufa Hakika.HII VITA NI MUNGU MWENYEWE HAKIKA TUTASHINDA.
 
Tangu umeiba hela za rambirambi za Marehemu Mwangosi umekuwa mtupu kumkichwa!

Molemo muulize mchungJi wenu msigwa aeleze hela ziko wapi dah hili chama lakichaga ni noma
 
Wana JF,

Ukweli lazima usemwe hata kama unauma.
Kitendo cha ZZK kuandaa mpango wa siri wa kufanya mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama haukubaliki hata kidogo. Sijawahi kuona popote duniani mtu aliyetaka kupindua Serikali inayotawala au kuongoza akabaki salama. Hakuna!

Hili hata CCM wanalijua. Tuna mifano mingi ndani ya CCM inayofanana na hii. Kuna kina marehemu Horace Kolimba,walioiambia CCM bila kutafuna maneno kuwa imepoteza mwelekeo! Wako wapi leo? Kwanini CCM waliamua kumuua badala ya kusikiliza hoja zake?CCM wanapopiga makelele kuhusu CDM kuwa haina Demokrasia wana maana gani? Ipi Demokrasia bora, kumwuua mtu kawasababu anatofautiana na mawazo yako au kumfukuza ndani ya Chama??Mbona hata CCM wanafanya haya ndani ya chama chao, mbona watu hawapigi kelele??? Kwa CCM sawa lakini kwa CDM au wapinzania ni dhambi!!!!! Juzi juiz tu hapa kule Zanzibar CCM wamemtimua na kumvua Uanachama Bwana Mansoor Yussuf Himidi!Soma hii habari ya Bwana Mansoor iliyodukuliwa toka Mwananchi ya tarehe 28 Agosti,2013:

''......Uamuzi wa kumfukuza uanachama Mansoor Yussuf Himid, Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki nauchukulia kuwa ni mwendelezo wa mkakati wa wahafidhina katika kuhodhi siasa za Zanzibar ambazo hata hivyo wakati umewapa kisogo kwani wananchi watu wengi hawakubaliani na mwenendo wa kihafidhina.''

''Kisa na mkasa uliompata Mwakilishi Mansoor, mtoto wa mwanamapinduzi, ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JW) na mjumbe wa kamati ya watu 14 iliyoongoza mapinduzi matukufu ya Januari 12 mwaka 1964,Brigedia Yussuf Himid,mtoto wake, Mansoor anasulubiwa kwa haki yake ya utoaji mawazo kuhusu katiba mpya na zaidi mustakabali wa nchi yake katika suala zima la muundo wa Muungano''.

Sasa CCM wanapopiga kelele kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama wanamaanisha nini kama siyo unafiki na kutaka kulikuza hili jambo pasi na sababu. Tunajua CCM walikuwa wanamtumia Zitto kusambaratisha ngome ya CDM hili liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye kupenda haki.

CCM acheni uingilia maswala ya vyama vya Upinzania hasa CDM. Haiwasaidi sana sana mnazidi kuumbuka na kujidhalilisha bure.
 
Mrembo Chris Lukosi, hachoki mtu hapa. Kama unabisha toa mzigo uone babu atakavyokamua. Hakatwi mtu hapa.

Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila
 
Magamba wanamuogopa sana dr slaa.hanunuliki kama zito.
 
pole pole, usitoke mapovu.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

Huyo Slaa asiende kigoma wala mahali popote kwa sasa kwa kuwa ataingia kwenye mtego; picha kubwa ya harakati zote hizi tangu waraka wa siri wa zzk hadi matukio yanayoendelea sasa watu kutafuna pesa na kutoa matamko ya hovyohovyo ni ili kuonyesha chadema kuna mfarakano mkubwa na hata kesho au keshokutwa wakiuwawa viongozi wa juu wa chama itaonekana ni chadema tu wanashughulikiana. Mimi naona hili kama ndio mkakati wenyewe ingawa wenye kuupanga hawajui tu kwamba hiyo ni kuivuruga amani ya nchi na kuiingiza katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Wao ofcourse wana pesa watakimbilia nje lakini je bado watabakia kuwa watawala? hebu tujaribu kuwa na upeo jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom