Natafuta mume

Natafuta mume

haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........





Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu

Tuwasiliane ! !
 
Mmh jamani kama huyo mume kapatikana sio mbaya ukituwka wazi. Mana ni siku mingi sasa tangu hii thread iko kwa hewa
 
Dada nikushauri tu Mume hatafutwi ki hivyo hata siku moja tena kuwa na fikira za kuolewa ndo kabisa hutaolewa. Cha msingi muonbe Mungu sana akupe mume aliyekupangia usijefikiri kuoelewa ni mchezo. Nachokiona kwako umesema unakazi nzuri hapa inaonyesha unajali sana kazi yako na unapotoka nyumbani ofisini, ofisini nyumbani tena ukawa na corola kama yangu ndo kabisa hata hao wanaume watakuona saa ngapi nakwambia yaliyowahi kunikuta mpaka baadae nikaanza kwenda bar kukaa na wenzangu japokuwa pombe sinywi nikawa nafuatwa kila kukicha so jichanganye na watu wakuone. UTAOLEWA TU HAPO NAKWAMBIA hata kama hutaki kwenda bar basi nenda hata jumuiya kusali au kanisani kwenye sherehe mbalimbali hata kama ni birthday we hudhuria tu utaonekana.

Trust me hakuna njia sahihi ya kutafuta mume au mke so don't act like you are that perfect mamito
let her try her way n we must respect that
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........





Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wot
 
naomba unipiem tuwaciliane mami wangu mimi nipo tayari plz naomba namba ya cimu 2ongee ok?
 
hahahahah wakaka wa jf naona mna shangwe mdada kaja mwenyewe!
iv apa tz akunaga clubs za mabechela?km huna unaenda apo kuxchange namba afu ikitik nyota mwaendelea??
mmh ingesaidia sana!!!!!!!

bt msimdanganye mwezenu msije mkawa mafanya research za chup funua funika ndo zenu?mwezenu anatafuta mume uyo !!!!
amen mpendwa mungu atakusadia na nia ya moyo wako ikatimia...sema amen........!!11
ol da best mwaya mi bado kidogo i 26yrs inanifanya niogope mandoa yao manake kila ukigeuka kuna kilio cha ndoa awa wamepeana sana mara awa wananyimana mara uyu ananmyima yule mara uyu mume wake anamnyima attention .ahaaaaaaaaaaaaa ili mradi kashda tu......m afraid le me finish ma role then ntaingia uko gerezani manake mmh mh nikichek picha kwa mbali........haaaaaa inaninyima raha ya kuingia SENEMA!!!!!!
ooh ma god i dnt knw wa to do bt...............ndoa.......mmh mmh mungu anyanyue mkono wake nimpate samson wangu nimnyonyoe nywele atulie namimi nipate aman dunian
au nkupe kakangu?ana elimu ya kidato cha 4 lakin ana busara na hekima,he is man to relay on,he is the controller ukiwa nae atanyosha matatizo yote,he is the shoulder to cry ,care n kind yan utakuwa mwanamke mwenye furaha atakufanya ucheke daily bt HANA PESA NI MAJALALA mbaya ....km poa sema.
au km wasaka mwenye PHD ,magari 7 kila siku na gari yake na mahela mingi mmh basi watakuja .........!!!!!!!!!
sali sana ili wasije magugu na ukawavuna pasipo kujua!!!
mungu akutangulie akupe busara na hekima katika machaguzi yako.
:welcome:[/QUOT
Kwikwikwi umeniacha hoi kwel yani busara zote ulizoonyesha na kumfariji kwa maneno ya mungu umekuja kuishia kwa kutaka kumkuwadia kwa kakako..kwel dunia hadaa walimweng shujaa
 
Hahahahaaa, nimecheka sana, haka kajukwaa kumbe kana vichekesho eeh?!! nyie wageni msiomjua boflo mtaingia mkenge, ni dume huyo, jamaa yetu ni gay na hana noma na hilo sasa nyie mnaoshobokea kila post ya mwanamke hapa mkikutana na kidume msishangae, na ni baunsa ukishindwa kusimamisha usishangae akkakukamata wewe...lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom